FEATURE
on Jul 2, 2024
406 views 3 mins

Tanzania imekuwa kinara katika programu ya kizazi chenye usawa ambapo imechaguliwa kuingia katika bodi ya Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusu wanawake (UN WOMEN) kati ya nchi saba (7) duniani zilizochaguliwa kuingia, huku Tanzania na Afrika Kusini ndo nchi pekee katika Bodi hiyo kutoka Bara la Afrika. Kauli hiyo imetolewa leo Julai 2, 2024 jijini […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 2, 2024
264 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya jamii NSSF umewataka watumishi wanaotarajiwa kustaafu kuanza kujiandaa ikiwa ni pamoja na kuhakiki taarifa zao za msingi sambamba na kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha hali itakayosaidia kupunguza changamoto za maisha pindi wanapostaafu Rai hiyo imetolewa na meneja wa mafao wa NSSF Ilala wakati […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 2, 2024
299 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA LINDI WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema matokeo ya sensa yanapaswa yawafikie watendaji na walengwa wote katika ngazi ya mkoa na Halmashauri na yawe msingi wa rejea katika kufanya maamuzi yote ya kibajeti, kupanga miradi ya maendeleo na kufuatilia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya kisekta. Ametoa agizo hilo leo Julai 2, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
FEATURE
on Jul 2, 2024
214 views 56 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Maji Juma Aweso amesema serikali kupitia Wizara ya Maji ipo kwenye mchakato wa kuweka luku ya maji ambayo itaenda kutatua tatizo la wananchi kupatiwa bili ambazo si sahihi kulingana na matumizi yao Ametoa kauli hiyo leo Jijini Dar es salaam akiwa katika ziara yake jijini humo ambapo amepata wasaa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 1, 2024
269 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema anafurahishwa na namna makada, wanachama na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wanavyoendeleza umoja miongoni mwao. Rais Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 1, 2024
338 views 5 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Aliyekuwa Mgombea wa  nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Alliance For Democratic Change (ADC) Doyo Hassan Doyo amesema hayatambui matokeo ya uchaguzi yaliyomtangaza Shaban Itutu kama Mwenyekiti wa Chama kutokana na uchaguzi huo kutozingatia katiba ya Chama hicho. Doyo Hassan Doyo ambaye alionekana kutokuwa na upinzani […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 1, 2024
239 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Bwana Raymond Mndolwa, amewataka wahandisi na watumishi wa Tume kuheshimu, kusimamia na kutekeleza miradi kwa viwango na ubora. Amesema ni aibu kwa taasisi kuwa na miradi isiyokidhi viwango hivyo hatakuwa tayari kuona miradi hiyo inaiangusha serikali na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi. Mndolwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 29, 2024
166 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Jeshi la Polisi Kikosi cha Polisi Wanamaji kinaendelea na ufuatiliaji maalum kuanzia Mei  hadi Juni, 2024 katika kudhibiti uhalifu ukanda wa Bahari ya Hindi. Katika ufuatiliaji huo kikosi kazi cha Polisi Wanamaji Dar es salaam kikitumia boti za Polisi walifanikiwa kukamata majahazi mawili, MV. UKIMAINDI POA na jahazi lingine lisilokuwa na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 29, 2024
350 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetaka wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu kutumia njia mbadala ya uchenjuaji na kuacha matumizi hatarishi ya kemikali ya zebaki ambayo ni hatari kwa afya ya binadamu na Mazingira. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Tafiti za Mazingira NEMC Dkt. Menan Jangu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...