Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwakushirikiana na Kenya na Uganda kupitia Pamoja Bid wamedhamiria kuwamwenyeji wa michuano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (African Cup ofNations) 2027.Rais Samia amesema nchi hizo zinawania nafasi hiyo kwa kutambua mafanikiomakubwa ambayo Sekta ya Michezo imepata, hivyo kuwa wenyeji wa AFCON […]
Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. William Somoei Ruto akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, wakati alipokuwa anawasili Ukumbi wa Mikutano wa South C, jijini Nairobi nchini Kenya, leo Jumatano tarehe 24 Mei, 2023, kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa ID4AFRICA unaojadili masuala ya Ikolojia ya Utambuzi.
Ujumbe wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja katika Kituo cha Makumbushoya Nelson Mandela Foundation Mei 23, 2023 Johannesburg Afrika Kusini. Serikali Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibarzimedhamiria kuboresha na kuimarisha uhifadhi wa urithi wa ukombozi kurithisha kizazicha sasa na vizazi vijavyo ili kuinua uchumi wa pande hizo mbili za Muungano. […]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Zainab Goronya Muruke kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 23 Mei, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Leila Edith Mgonya kuwa Jaji wa Mahakama ya […]
Mwenyekiti wa jumuiya ya wanawamke CUF (JUKE) ambaye pia alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Kigoma Kaskazini, Kiza Mayeye amejiondoa rasmi leo kwenye chama cha CUF na kujiunga na ACT Wazalendo. Mayeye amekitumikia Chama Cha Wananchi CUF kwa nafasi mbalimbali tangu mwaka 2011 alipojiunga, mwaka 2020 aligombea Ubunge katika jimbo la Kigoma Kaskazini na kwa matokeo […]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanyamabadiliko madogo ya baadhi ya Wakuu wa Mikoa, uteuzi wa Mkuu wa Mkoa,uhamisho wa Wakuu wa Mikoa na uteuzi wa Mkuu wa Wilaya kama ifuatavyo: Zuhura YunusMkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
Mkuu wa Mkoa wa Lindi na Kamishina wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Mhe. Zainab Telack akizingua gari kwa Mrajis Msaidizi wa Mkoa wa Lindi ambapo gari hilo limetolewa na Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) limekabidhiwa wakati wa Jukwaa la Ushirika la Mkoa wa Lindi lililofanyika Mjini Lindi likiwa na kauli mbinu […]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka Saini katika kitabu maalum maarufu kama Golden Book mara baada ya kuwasili Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Sharm El Sheikh nchini Misri kuhudhuria Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) leo tarehe Mei 2023. (wa pili kutoka […]
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uhamiaji Kenya, Prof. Julius Bitok (kushoto), kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kimataifa wa ID4AFRICA unaojadili masuala ya Ikolojia ya Utambuzi (Identity Ecosystem), unaofanyika jijini Nairobi nchini Kenya, leo Mei 23, 2023. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara […]
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linawashikilia watuhumiwa 12 kwa tuhuma zakufanya vurugu pamoja na uharibifu wa vitu mbalimbali na kupelekea mtummoja kufariki dunia.Akitoa taarifa hiyo leo Mei 22, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa ArushaACP Justine Masejo amesema mei 22, 2023 muda wa saa 5:40 asubuhihuko katika Kitongoji cha Magomeni kijiji cha Jangwani eneo la […]