TASAC WASAINI MKATABA NA KAMPUNI YA KITURUKI KWA LENGO LA KUNUNUA BOTI MBILI ZA UTAFUTAJI NA UOKOAJI
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), leo, Aprili 3, 2025, limesaini mkataba na na kampuni ya Kituruki, M/s Mercan Tekne Deniz Araclari Ltd (Mercan Yachting), kwa lengo la kununua boti mbili (2) za utafutaji na uokoaji (Search and Rescue – SAR) ili kuboresha usalama wa usafiri majini katika mwambao wa bahari na maziwa makuu […]
๐Pacome, Diarra wavutiwa na mnyama Simba Na Beatus Maganja, TABORA Viongozi na wachezaji wa Timu ya Young Africans (Yanga) leo hii wamefanya ziara katika Bustani ya Wanyamapori Hai Tabora, maarufu kama Tabora Zoo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukuza utalii wa ndani na kuunga mkono juhudi za Serikali katika kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo […]
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baraza la Taifa la Ujenzi zimeingia makubaliano kwa ajili ya ushirikiano wa kitaalamu katika Sekta ya Ujenzi. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini, Dar es Salaam tarehe 03 Aprili, 2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari amesema kuwa wameingia makubaliano hayo kwa sababu taasisi hizo zinashabihiana […]
_Mwenyekiti wa Kijiji na Kitongoji watuhumiwa kuuza ardhi ya Kijiji kinyemela zaidi ya heka 8, DC Sima atangaza kiama kwa wanaouza ardhi za Vijiji_ Mkuu wa Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera Mhe. Erasto Sima Jana Jumatano Aprili 02, 2025 akiambatana na Wajumbe wa Kamati ya Usalama ya Wilaya wamefanya ziara ya aina yake Tarafa ya […]
_Lengo kuu ni kumuunga mkono Mhe. Rais Samia aliyejipambanua kuinua michezo._ Afisa Tarafa (Gavana) wa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku anaendelea na mkakati wake wa kugawa mipira ndani ya kata mbalimbali zilizopo kwenye Tarafa yake ili kuhakikisha Vijana wanainua vipaji na kulinda afya zao kwani michezo ni ajira, michezo […]
๐Wananchi wapewa elimu matumizi bora ya nishati safi ๐Wahimizwa kuhifadhi na kutunza mazingira ๐REA yahamasisha wananchi uunganishaji umeme Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa ni pamoja na matumizi ya vifaa vya kisasa vya umeme hususan majiko ya umeme ambayo yanatumia kiasi kidogo cha umeme, salama […]
Na Madina Mohammed PWANI WAMACHINGA Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru ya pwani imewataka wananchi kuajibika Katika kupambana na rushwa pia kuisaidia takukuru Katika mapambano hayo ya rushwa katika kipindi hichi Cha uchaguzi mkuu Ameyasema hayo Leo 03 Machi 2025 Mkuu wa takukuru (M) Pwani Domina Mukama Amesema takukuru imepata nafasi ya kipekee […]
Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda. Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze hadharani wawaambie wanataka nini na kama wanashindwa kuiambia CCM basi waiambie Tume. Akizungumza […]
Kwa mara ya pili mfululizo, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeshinda tena tuzo ya Uhusiano Mwema na Vyombo vya habari, ikionesha namna taasisi hiyo inavyothamini uhuru wa vyombo vya habari katika kuuhabarisha umma kuhusu shughuli zake. Tuzo hiyo ilitolewa jana(29.3.2024) na Chama cha Maofisa Uhusiano Tanzania (PRST), baada ya mchuano […]
๐Shirika labeba tuzo 4 kati ya 12 zilizoandaliwa. ๐Mawasiliano ya Kimkakati na Ubunifu vyatajwa kati ya sababu za Ushindi huo. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeendelea kung’ara baada ya kushinda jumla ya tuzo 4 kati ya 12 zilizotolewa na Chama cha Maafisa Uhusiano na Mawasiliano Tanzania(PRST)kwa mwaka 2024. Tuzo hizo zilizotolewa 29, Machi 2025 jijini […]