Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imepokea taarifa ya Utafiti wa Madini ya Dhahabu unaofanywa na Kampuni ya Twiga Corporation Limited inayomilikiwa kwa ubia kati ya Serikali kwa asilimia 16 na Kampuni ya Barrick Tanzania Limited kwa asilimia 84 ikiwa ni utaratibu kwa Serikali kupokea taarifa za maendeleo […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu UVCCM (MNEC) Jokate Mwigelo amewataka vijana kujitokeza kwa wingi katika uwanja mkapa (Lupaso) jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa kampeni maalum ambayo imelenga kuhamasisha wananchi kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura. Wito huo ameutoa jijini Dar es Salaam wakati alipokua akizungumza na waandishi wa habari ambapo […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Asema uchumi wa buluu ni shughuli zote za kiuchumi zinazohusiana na Bahari, Maziwa Makuu na rasilimali zake Uchumi wa Buluu mchangiaji mkubwa wa maendeleo Wizara na Taasisi za Serikali zatakiwa kushirikiana na DMI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kulinda viumbe vya baharini na […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Wizara ya fedha ni Wizara muhimu katika maendeleo ya Taifa na ufanikishaji wa Maazimio ya Dira ya Taifa ya Maendeleo Nchini, kwa kuzingatia hilo jana Kamati ya usimamizi wa Dira. Wajumbe wa Tume ya Mipango na Timu ya kitaalamu na uandishi wa dira ya Maendelo 2050 , walikutana kuweza kupata picha […]
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Jumanne Sagini (Mb) ameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kuweka vionjo vya utalii wa utamaduni hasa wa kabila la Wazanaki kama nyumba na vitu vya asili vya kabila hilo lenye asili ya Butiama, Mkoani Mara. Ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam katika Viwanja vya Sabasaba mara […]
Na MADINA MOHAMMED WAMACHINGA DAR ES SALAAM Chuki ni hali ya mtu au kikundi cha watu kutopenda kitu fulani. Ni kinyume cha upendo. Kuchukia mambo mabaya ni jambo la kustawisha utu na kujenga afya ya mwanadamu lakini kuchukia mambo mema ni jambo la kudidimiza utu na ustawi wa mtu na jamii inayomzunguka. Wataalamu wa saikolojia […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Azitaka taasisi za dini kushirikisha Serikali kusimamia maadili Wizara ya Maendeleo ya Jamii Shirikisheni wadau Azitaka taasisi za umma na Serikali kuwa mfano bora kwenye jamii kuhusu maadili Asisitiza maadili kupewa kipaumbele katika Mtaala wa Elimu Serikali itaendelea kusimamia na kukuza uadilifu wa maadili kama msingi wa maendeleo endelevu kupitia Sera […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Taasisi ya Mageuzi ya Vijana Tanzania (AGRA) imetangaza kuwa itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Sera wa Vijana na Ubadilishaji wa Mifumo ya Chakula, ambao utawakutanisha wawakilishi wa vijana, washirika wa utekelezaji, na wadau muhimu katika mlolongo wa thamani ya mifumo ya chakula ili kuwezesha mazungumzo na vijana ili […]
Tanzania imekuwa kinara katika programu ya kizazi chenye usawa ambapo imechaguliwa kuingia katika bodi ya Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusu wanawake (UN WOMEN) kati ya nchi saba (7) duniani zilizochaguliwa kuingia, huku Tanzania na Afrika Kusini ndo nchi pekee katika Bodi hiyo kutoka Bara la Afrika. Kauli hiyo imetolewa leo Julai 2, 2024 jijini […]