Na Mwandishi wetu WAMACHINGA 📌 *Ahimiza umuhimu wa ushirikishwaji wa Wafanyakazi* 📌 *Awataka Wakuu wa Idara na Vitengo kutoa fursa kwa Maafisa* 📌 *Asisitiza motisha kwa wanaofanya vizuri* 📌 *Dkt. Mataragio asisitiza ushirikiano na kuzingatia muda* Katibu Mkuu wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba leo 18 Juni, 2024 amekutana na Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo amesema kuwa Benki hiyo imeshuhudia ongezeko kubwa la mapato ya jumla ya Shilingi Bilioni 19.27 sawa na asilimia 11.19 hadi kufika Bilioni 19. 21, kwa mwaka 2023. ikilinganishwa na mwaka 2022 ambapo mapato yalikuwa Bilioni 172.83 sawa na asilimia […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA 📌 *Vituo vya kupoza umeme kujengwa kuimarisha usambazaji umeme* 📌 *Taasisi zapewa kipaumbele miradi ya usambazaji umeme* DODOMA Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) inatekeleza Mradi wa Njia ya Kusafirisha Umeme wa Msongo Mkubwa wa Kilovolti 400 wa Tanzania na Zambia (TAZA) kupitia […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA 📌 *Nishati Safi ya Kupikia yapigiwa chapuo* 📌 *Wananchi wafurahia kuuona mradi wa JNHPP kupitia kifaa cha Uhalisia Pepe* 📌 *TANESCO yatoa huduma moja kwa moja ikiwemo ya Nikonekt* 📌 *Wananchi wajulishwa haki zao kupitia EWURA CCC* Wizara ya Nishati pamoja na taasisi zilizo chini yake imeshiriki kwa mafanikio katika Maadhimisho […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Benki ya Akiba imesema itaendelea kuunga mkono serikali kwa kutoa elimu ya fedha huku ikiboresha huduma zake nchi nzima ili kusaidia kuwafikia wananchi wengi zaidi na kuchochea kukua kwa uchumi wa Taifa. Ameyasema hayo Juni 14 ,2024 Jijini Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Akiba Bw Silvest Arumasi wakati wa kuhitimisha […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Atoa salamu za Mkoa,asema utulivu ulioko katika Mkoa unatokana na viongozi wa Dini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 17,2024 ameshiriki swala ya Eid Al-Adha Kitaifa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI Kinondoni Jijini humo ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM MCHAMBUZI wa Masuala ya Kisiasa na Kijamii Dkt. Dennis Muchunguzi amemshangaa Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuzungumzia maelezo yake aliyoyapeleka kwa Spika juu ya sakata la uagizaji Sukari, kabla ya Spika na Bunge kutoa kauli. Hivi karibuni Bungeni jijini Dodoma Mbunge wa Kisesa kwa Tiketi ya Chama cha […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA 📌 Dkt. Biteko aagiza Wizara ya Mifugo kuendelea kutoa elimu ufugaji wa kisasa 📌Wafugaji wahimizwa kushiriki maonesho ya mifugo kuboresha ufugaji wao 📌 Wafugaji na wakulima waaswa kuondokana na migogoro 📌 Wafugaji watakiwa kutumia Maafisa Ugani kwa ufugaji wa tija *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Wakazi wa Kata ya Sinza, Wilaya ya Kinondoni wametolewa hofu ya upatikanaji wa huduma ya maji kwenye maeneo yao kufuatia jitihada kubwa zinazotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) za kufikisha huduma ya maji kwa uhakika. Diwani Kata ya Sinza Ndugu Raphaeli Awino ameeleza hayo […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Matokeo ya utafutaji yanaonyesha kuwa ushawishi na uwepo wa kijeshi wa Ufaransa katika eneo la Sahel la Afrika Magharibi, hususan katika Mali, Burkina Faso na Niger, umekuwa ukipungua katika miaka ya hivi karibuni kutokana na mfululizo wa mapinduzi ya kijeshi katika nchi hizo Ufaransa imewaondoa wanajeshi kutoka Mali mwaka 2022 na […]