Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Asema Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji wa ndani na nje ili kupanua wigo wa ajira na mapinduzi ya kiuchumi -Asema katika kila kiwanda ndani ya Mkoa huo kuhakikisha sehemu ya faida inarejeshwa kwa jamii -Ashiriki kupanda miti kuhamasisha jamii na wadau kutunza mazingira Mkuu wa Mkoa wa […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA -Asema kampeni hiyo ni ya siku 10 itaanza Juni 20-30,2024 -Abainisha kampeni hiyo inatarajia kuwafikia wananchi zaidi ya elfu kumi -Atoa rai kwa wakazi wa DSM kujitokeza kwa wingi kupima afya zao Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 14, 2024 ametangaza kampeni kabambe ya kupima […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Wakati sakata la ushoga likiendelea kutawala mijadala kupitia vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wameendelea kukemea na kutoa maonyo juu ya vitendo hivyo. Wakizungumza na waandishi wa habari mapema leo, viongozi hao wakiwemo maaskofu, wachungaji na ma-sheikh pamoja na wakufunzi wa vyuo vya […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA TABORA TARURA Mkoa wa Tabora imepokea fedha za dharuraย kiasi cha shilingi milioni 790ย kwaajili ya kurejesha mawasiliano ya miundombinu ambayo yameathiriwa na mvua za Elnino mkoani humo. Meneja wa TARURA Mkoa wa Tabora, Mhandisi Lusako Kilembe amesema kwamba fedha hizo zitatumika kurejesha mawasiliano ya barabara ambazo zilikatika kutokana na mvua […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imesema inajiimarisha kufatilia vyombo vya habari na waandishi wa habari wanaopotosha habari hususani katika kipindi cha kuelekea uchanguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu wa nchi kwani waandishi wengi wanaonekana kuwa na tatizo la kusoma namba hali inayopelekea kuandika takwimu zisizo sahii. […]
Na Beatus Maganja, Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TAWA Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko amesema Bodi anayoiongoza imejipanga kuja na mipango madhubuti ya kuifanya Hifadhi ya Pande iliyopo Jijini Dar es Salaam kuwa kivutio kikubwa kwa watu waishio ndani na nje ya Jiji hilo. Akizungumza na waandishi wa habari katika ziara […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA -Asema wasanii wanamchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa -Awataka kupitia kazi zao za sanaa kufikisha ujumbe wa matumizi ya matokeo ya Sensa ya mwaka 2022 kwa jamii Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 12,2024 amefungua mafunzo ya matumizi ya matokeo ya Sensa ya watu na […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA ***Treni ya SGR haijaja kuchukua nafasi ya ndege Wala Mabasi ****Mizigo mikubwa haitakiwi,chakula Wala Wanyama inaitaji kuwa Treni ya kimataifa Shirika la Reli Tanzania TRC limezindua Safari ya Treni ya Mwendokasi kutoka Dar es salaam Mpaka Morogoro Na kuanza Rasmi safari hiyo siku ya ijumaa ya Tarehe 14 […]