Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 108)
FEATURE
on Jun 12, 2024
391 views 29 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Baada ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wakeย  Mohammed Ali Kawaida kuitaka Serikali kupitia Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kufungia Mtandao wa X ambao Zamani ulijulikana kama Twitter kutokana na mtandao huo kuruhusu mambo ambayo ni kinyume na Utamaduni wa Watanzania Leo Juni […]

FEATURE
on Jun 12, 2024
402 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA *๐Ÿ“Œ Diplomasia ya Kiuchumi yainadi Tanzania kimataifa* *๐Ÿ“Œ Marekani yasaka fursa uwekezaji Sekta ya Nishati* *๐Ÿ“Œ Dkt. Biteko ataja maono ya Rais Dkt. Samia kiini cha ujio wa wawekezaji* *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Doto Biteko amekutana na […]

FEATURE
on Jun 12, 2024
234 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Lengo ni kujihakikishia umeme wa kutosha na uhakika ๐Ÿ“Œ * Dkt. Biteko akutana na wadau wa chemba ya wafanyabiashara wa Ujerumani na wadau wa nishati ๐Ÿ“Œ Aiomba Ujerumani kuendelea kufadhili miradi ya nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishatiย  Mhe. Dkt Doto Biteko,ameieleza jumuiya ya wafanyabiashara wa ujerumaniย  na […]

FEATURE
on Jun 11, 2024
436 views 47 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA TAASISI ya Mama Ongea na Mwanaoย  kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wametoa msaada wa Baiskeli 250 kwa watoto wenye mahitaji maalumu (Walemavu) ili kuwasaidia kutimiza ndoto zao za kupata elimu . Akizungumza na Waandishi wahabari leo Juni 11, 2024 jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Steve Nyerere amesema […]

FEATURE
on Jun 10, 2024
265 views 2 mins

Na Mwandishi wetu -Barcelona,Hispania Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Kampuni ya IFEMA ya Madrid, Hispania inayojihusisha na uandaaji wa Onesho linaloongoza duniani la Feria Internacional de Turismo (FITUR) lengo ikiwa ni kuangalia namna bora ya kuboresha ushiriki wa Tanzania katika Onesho hilo […]

FEATURE
on Jun 10, 2024
213 views 2 mins

Na mwandishi wetu WAMACHINGA -Akagua maendeleo ya barabara ya Tabata Mazda hadi Kimanga Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 10 ,2024 amefanya ziara ya kushtukiza kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Mazda kimanga Km 3.7 Wilaya ya Ilala. RC Chalamila amefanya ukaguzi huo kufuatia ahadi aliyoitoa kwa wananchi wakati […]

FEATURE
on Jun 10, 2024
401 views 14 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Katika kuhakikisha burudani hazipoi na kuwafikia watanzania Hatushikiki imekuja na kuzama kwa jua ili kukuza sekta ya burudani na kuwafanya wasanii kutoa burudani ya aina yake. Akizungumza jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendajiย  wa Kalito’s Way Group of Companies, Carlos Kalito, amesema kuwa wana sheherekea mafanikio ya biashara […]

FEATURE
on Jun 10, 2024
201 views 3 mins

Na Madina Mohammed ARUSHA Katika kuunga mkono jitihada za Serikali za kuhifadhi na kulinda rasilimali za wanyamapori nchini ikiwa ni pamoja na  kudhibiti wa wanyama wakali na waharibifu,  Marafiki wa Serengeti Uswisi “Friends of Serengeti Switzerland” wametoa msaada wa mahema 20, mabegi ya kulalia “Sleeping bags” 20 yenye  thamani ya Shillingi Millioni thelathini laki tisa […]

FEATURE
on Jun 10, 2024
487 views 2 mins

Na Mwandishi wetu DAR ES SALAAtM Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imekamilisha maandalizi muhimu kwa ajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ikiwa ni pamoja na ununuzi wa vifaa vya uandikishaji vinavyojumuisha BVR Kits 6,000. Hayo yamebainishwa leo tarehe 10 Juni, 2024 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa […]

FEATURE
on Jun 9, 2024
522 views 0 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Wasafi Bet Wamtambulisha mshindi wa milioni 20 ambaye anayetokea Tabora Saidi Daudi pia amesindikiwa na washindi watano walioweza kujishindia simu janja ya SMART PHONE Saidi amejishindia pesa hizo Kwa bet ambayo aliyoweza kucheza na kubashiri na kuingia Katika droo hiyo na baadhi Yao walishinda shilingi 10000 Kwa kila […]