Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 114)
FEATURE
on May 23, 2024
334 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ARUSHA Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda ametembelea na kukagua utoaji huduma katika zahanati ya kijiji cha Leremeta ambapo amehoji kuhusu umeme unaopatikana katika zahanati ili kujua unawezesha mitambo yote kufanya kazi ipasavyo. Katika majibu yake, uongozi wa zahanati hiyo umesema kuwa umeme hauridhishi kwakuwa ni single phase na […]

FEATURE
on May 23, 2024
241 views 46 secs

Na Mwandishi wetu ZANZIBAR WAMACHINGA Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwahani, Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar Bi. Safia Iddi Muhammad amefanya uteuzi wa  wagombea kutoka vyama 14 vya siasa kuwania nafasi ya Ubunge katika Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika tarehe 8 Juni, 2024. Ameyasema hayo Leo Tarehe 23 Mei 2024 Msimamizi wa uchaguzi […]

FEATURE
on May 23, 2024
180 views 42 secs

Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unafanyika leo, Mei 23, 2024 katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko. Mkutano huo ulioanza Mei 20, 2024, utahitimishwa Mei 25, 2024 unalenga kuimarisha utendaji kazi wa watumishi wa kada […]

FEATURE
on May 22, 2024
246 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Albert Chalamila amesema namna pekee ya kupata maendeleo kwa Taifa lolote ni kulipa kodi bila shuruti ambapo Serikali ya Tanzania Kupitia Mamlaka ya Mapato (TRA), itaendeleza oparesheni za kuwabaini baadhi ya wafanyabiashara wa vinywaji wanaoingiza vinywaji nchini visivyothibitishwa na TBS, na wanaofanya biashara […]

FEATURE
on May 22, 2024
261 views 3 mins

Na Madina Mohammed WAMACHINGA Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii  kwa ubunifu  wa  kuvumbua bomu baridi lililoboreshwa kwa ajili ya kupambana wanyama hatari kama Tembo kwa kushirikiana na  Shirika la Mzinga. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe. […]

FEATURE
on May 22, 2024
254 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Wizara ya Mifugo na Uvuvi Kupitia Bodi ya maziwa inaelekea Katika kuazimisha wiki ya Maziwa ambayo itakayofanyika Tarehe 1 Juni 2024 yenye kulenga utumiaji wa maziwa Kwa kila mwananchi na kupewa ufahamu wa jinsi ya utumiaji Kwa maziwa yote ambayo yaliyosindikwa na yasiyosindikwa. Msajili wa Bodi ya maziwa […]

FEATURE
on May 22, 2024
310 views 34 secs

Na Mwandishi wetu DODOMA WAMACHINGA Wakurugenzi, Wakuu wa Idara watakiwa kusimamia vema mfumo wa PEPMIS* Dodoma Watendaji wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake leo 22 Mei,2024 wamepata mafunzo ya upimaji utendaji kazi  kutoka kwa Wataalam wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ili kuboresha utendaji kazi kupitia mfumo wa PEPMIS na PIPMIS. […]

FEATURE
on May 22, 2024
203 views 4 mins

Na Mwandishi wetu ARUSHA WAMACHINGA -_Kampuni za Watanzania za Kutoa Huduma na Kusambaza bidhaa zaongezeka_ -_Ajira rasmi 18,853 kwa Watanzania_ -_Chini ya uongozi wa Mh Rais Samia Watanzania wapata nafasi za juu za kuongoza Kampuni kubwa  za Madini Tanzania_ Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010 yametoa fursa ya  kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini […]

FEATURE
on May 22, 2024
249 views 25 secs

Na Mwandishi wetu Wamachinga Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mkoani Dar es salaam, Edward Mpogolo, amefungua mashindano ya Umoja wa Shule za Sekondari-UMISSETA Wilaya ya llala Mashindano hayo yameshirikisha wanafunzi kutoka Majimbo ya Ilala, Segerea na Ukonga kwa ajili kuunda timu ya Wilaya Ilala. Watakaochaguliwa wataunda timu ya kanda itakayokwenda ngazi ya Mkoa wa Dar […]

FEATURE
on May 21, 2024
295 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zinazohusika na usimamizi wa sekta ya habari ziendelee kusimamia vyombo vya habari vizingatie maadili na kujiepusha na uchapishaji wa taarifa na picha zinazochochea uvunjaji wa maadili, mila na desturi za Kitanzania. Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa habari […]