ย NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies,ย Farhiya Warsame, inayojenga Bomba la Gesi kutoka Kisemvule hadi Mbagala (kilomita 19) jijini Dar es Salaam. ย Kampuni hiyo pia itajenga vituo vitano vya CNG kwa ajili ya kujaza gesi kwenye magari na viwanda […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WITO umetolewa kwa wanawake nchini katika kusherekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani,kujenga mazoea ya kutembelea hifadhi mbalimbali zilizopo nchini kwa lengo la kujifunza na kujijengea uzoefu wa kuangalia vivutio mbalimbali. Wito huo umetolewa jana jijini Dar es Salaam na Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Zone ya Dar es Salaam kutoka Shirika […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) yaonesha tafiti ya gesi ASILIA imetumika Kwa Kiasi kikubwa Katika usafirishajiย na usafiri Hayo yameelezwa na Afisa Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano kutoka Ewura, Wilfred Mwakalosi wakati akiwasilisha ripoti ya utafiti waliofanya katika Kongamano la 11 na Maonesho […]
*Na Charles Kombe, Dar es Salaam* Shirika la Umeme Tanzania, TANESCO, linategemea kuongeza fursa ya kuzalisha umeme kupitia vyanzo mseto kupitia Kongamano la 11 la Petroli la Afrika Mashariki linaloendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC). Hayo yamebainishwa Machi 4 na Meneja Utafiti TANESCO Mha. Samwel Kessy wakati akieleza juu ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐ *Asema Sekta ya Mafuta nchini imeimarika* ๐ *Ataja miradi ya kimkakati ujenzi wa mabomba ya gesi na mafuta* Kamishna wa Petroli, Goodluck Shirima amesema kuwa, Tanzaniaย imejipanga vyemaย kutengeneza sera rafiki zitakazozidi kuvutia uwekezaji kwenye sekta ya Mafuta na Gesi Asilia ambazo zitawezesha pia kupata mitaji ya kuendesha Sekta kwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐ *Asema lengo ni kurahisisha huduma kwa Wananchi* ๐ *Afanya mazungumzo na kampuni Rashal Energies inayojenga Bomba la Gesi Kisemvule-Mbagala* ๐ *Aikaribisha kampuni ya CNOOC ya China kushiriki Duru a Tano Vitalu vya Mafuta na Gesi Asilia* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imesema inatarajia kunadi vitalu 26 vya gesi asilia na mafuta kwa lengo la kuvutia wawekezaji ili kuchangia maendeleo na kukuza uchumi wa nchi kwa ujumla. Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam Machi 5, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa PURA, Mhandisi Charles Sangweni […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wananchi Jijini Arusha wamevutiwa na bidhaa mbalimbali za Nishati Safi ya Kupikia na wameipongeza Serikali kwa kuona umuhimu wa kufikisha bidhaa hizo katika Maonesho yanayoendelea mkoani humo kuelekea Siku ya Wanawake Duniani. Wakizungumza kwa nyakati tofauti Machi 6, 2025 mara baada ya kutembelea Banda la REA na kushuhudia teknolojia mbalimbali za […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania, TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga amesema umeme ni nishati nafuu zaidi kupikia na kuwahimiza Wanzania kutumia fursa ya uwepo wa umeme katika kila Kijiji na kutumia nishati hii kupikia ambapo watapunguza gharama pamoja na kutunza mazingira. Mha. Gissima ameyasema hayo Machi 4, 2025 katika Kongamano […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Viongozi wa Taasisi na Mashirika wanawajibika kuchangia juhudi za Serikali katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwa kuandaa na kutekeleza mikakati itakayosaidia kupunguza uzalishaji wa gesijoto na kuhimili athari za mabadiliko ya tabianchi. Makamu wa […]