Na Lusungu Helela – SINGIDA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene amemshukia aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Mbowe kuhusiana na hoja yake aliyoitoa ya kubeza juhudi ya Serikali ya kutaka kuondoa umaskini wa watu kupitia Mfuko wa Maendeleo ya […]
Na Mwandishi Wetu MoHA-Dodoma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya Siasa bila kujali itikadi ya Chama cha Siasa chochote. Amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kusimamia ulinzi na usalama kwa Vyama vyote […]
📍 Mataifa mbalimbali yafurika Hifadhi ya Urithi wa Dunia Kilwa Kisiwani Na Beatus Maganja, Kilwa. Kazi kubwa ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchi yetu duniani iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kudhihirika na kishindo chake kutikisa katika Hifadhi ya Urithi wa Utamaduni wa Dunia ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kupitishwa kwa *Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote* kutaongeza mchango wa sekta ya bima katika kuwezesha upatikanaji wa huduma bora za matibabu kupitia mfumo wa bima ya afya. Hayo yalibainishwa wakati Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, alipozindua rasmi Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ASKOFU Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam Mhashamu Stephano Musomba ametoa wito kwa jamii kujitokeza kwa wingi na kuhakikisha wanajiandikisha kushiriki Pugu Marathon 2025 itakayofanyika Mei 31, mwaka huu katika viwanja vya Hija Pugu Jimbo kuu la Dar es Salaam. Mhashamu Musomba ametoa wito huo wakati akizungumzia na waandishi […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kampuni ya Azam Media Limited imesaini mkataba wa makubaliano na Trace Group inayondaa tuzo za Trace kwa ajili ya urushaji matangazo ya usiku wa tuzo hizo Februari 26, 2025. Mkataba huo umesainiwa na Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Azam Media Limited, divisheni ya Maudhui na Utangazaji @yahyamohamedtz pamoja na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA • *_Waziri Mavunde asisitiza lengo la trilioni 1 kufikiwa_* • *_STAMICO yapiga hatua kubwa kuelekea malengo yake_* • *_Asilimia 18 ya nchi kufanyiwa utafiti wa kina mwaka hivi karibu_* 📍 *Dodoma* Wizara ya Madini imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 521 katika kipindi cha Julai 1, 2024, hadi Desemba 31, 2024. Hii ni […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) kwa kushirikiana na kampuni za mbolea za ETG na Itracom zimefanikiwa kusambaza tani nne za mbolea kwa ajili ya kutoa elimu kwa vitendo kupitia mashamba ya mfano yaliyoanzishwa katika Halmashauri zote za mikoa ya Lindi na Mtwara. Elimu hiyo inalenga kuwahamasisha wakulima kutumia mbolea […]
📌Azindua dira ya miaka 50 ya CBE (2025 – 2075) 📌Asisitiza matumizi ya teknolojia za kisasa, zinazojibu changamoto za jamii 📌Taasisi za elimu ya juu zatakiwa kuweka mkazo mafunzo ya ujasiriamali Vyuo na taasisi zinazotoa elimu ngazi ya Kati ikiwemo Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), zimetakiwa kuboresha mitaala yake ya masomo ili iendane na […]