Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 43)
FEATURE
on Dec 12, 2024
125 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -ZANZIBAR Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi kujiandaa kugombea nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dkt Faustine Ndugulile. Dkt Ndugulile ambaye pia alikuwa Mbunge wa Kigamboni, alifariki dunia Novemba 27, mwaka […]

FEATURE
on Dec 12, 2024
138 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo DCP Kombo Khamis Kombo kuwa Kamishna wa Polisi na ameteuliwa kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar. Kombo anachukua nafasi ya CP Hamad Khamis Hamad aliyeteuliwa kuwa Balozi. Mbali nae pia Rais Samia amempandisha cheo DCP Tatu Jumbe kuwa Kamishna wa Polisi na […]

FEATURE
on Dec 12, 2024
133 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amelifumua Baraza lake lake la Mawaziri kwa kufanya mabadiliko madogo na kuwateua viongozi mbalimbali ambapo huku Profesa  Palamagamba Kabudi amemteua kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, akitokea Wizara ya Katiba na Sheria. Mbali naye huku Innocent Bashungwa akiteuliwa kuwa Waziri wa […]

FEATURE
on Dec 12, 2024
139 views 3 mins

Waziri wa Viwanda na Biashara Mh.Suleiman Jafo amewaomba wawekezaji kutoka nchi za falme za kiarabu kuja kuwekeza Nchini Tanzania katika sekta mbalimbali ikiwemo Biashara. Jafo ametoa rai hiyo leo Desemba 12,2024 wakati wa utiliaji saini hati ya Makubaliano ya Biashara na  Uwekezaji kati ya Tanzania na Nchi za kiarabu kupitia Chemba ya Biashara ,Viwanda na […]

FEATURE
on Dec 12, 2024
178 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu-Dodoma Serikali kupitia Ofisi ya  Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imetoa wito kwa Wakuu wa Idara za Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini kushiriki Kikao Kazi kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kupata maelekezo kuhusu masuala yanayohusu Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika utumishi umma kwa kuzingatia shabaha na vipaumbele vya […]

FEATURE
on Dec 12, 2024
137 views 22 secs

Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI Benki ya Equity Tanzania, kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), imepanda miti 10,000 katika Shule ya Sekondari ya Kirungu, Kijiji cha Kirungu, Wilaya ya Buhigwe, Mkoa wa Kigoma. Miti iliyopandwa ni aina ya Misindano ya asili (Pines), kwenye eneo la shule lenye ukubwa wa hekta 9, kwa […]

FEATURE
on Dec 12, 2024
125 views 2 mins

Na. Edmund Salaho/Arusha Waongoza watalii wa safari zaidi ya 750 leo tarehe 12, Decemba 2024 wamepigwa msasa katika semina maalum ikiwa na lengo la kujiandaa na msimu mwingine wa Utalii unaoanza Decemba 2024 hadi Februari 2025. Semina hiyo ya siku mbili inahusisha vyama vya waongoza watalii vya TTGA, NTSGS, TGS, KTGA, IGS, na FGCI imeandaliwa […]

FEATURE
on Dec 11, 2024
136 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Serikali inaangalia njia bora ya kushirikisha Sekta Binafsi katika Ujenzi na Mifumo ya usafirishaji umeme* Aeleza faida za Tanzania kufanya biashara katika soko la EAPP na SAPP* Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania  (TANESCO), Mha. Gissima Nyamo-Hanga amesema kuwa TANESCO inathamini michango inayotolewa na wadau wa maendeleo katika kuimarisha […]

FEATURE
on Dec 11, 2024
108 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Majiko ya Gesi ya Ruzuku yawafikia Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wamemshukuru Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mradi wa kusambaza majiko ya gesi kwa bei ya ruzuku ya 50% katika halmashauri hiyo. Wametoa pongezi hizo Desemba 10, 2024 wakati wa utekelezaji wa mradi wa kusambaza majiko ya […]

FEATURE
on Dec 10, 2024
148 views 2 mins

Na. Joyce Ndunguru, Morogoro Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi ameelekeza kuendelea kwa matumizi ya teknolojia mbalimbali katika ulinzi wa rasilimali ya wanyamapori. Dkt. Abbasi ameyasema hayo leo Disemba 10, 2024, katika kikao na watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) kilichofanyika katika Makao Makuu ya TAWA Mkoani Morogoro. […]