Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 46)
FEATURE
on Dec 4, 2024
139 views 3 mins

Na. Lusungu Helela- Dodoma Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala  Bora, Bw. Xavier Daudi amesema Wananchi walio wengi wamekuwa wakitumia mitandao ya Kijamii kufikisha malalamiko yao kwenye Taasisi za Serikali kutokana na  baadhi ya  Watumishi wa Umma kuvujisha siri za wateja wao pindi wananchi hao wanapotumia mifumo rasmi […]

FEATURE
on Dec 4, 2024
204 views 33 secs

Na mwandishi wetu … Dodoma Programu mpya ya vijana inayojulikana kama Generation Samia (Gen S) imezinduliwa rasmi, Desemba 2, 2024, jijini Dodoma, kwa lengo la kuwaunganisha vijana wa Kitanzania kutoka sekta mbalimbali na kuwajengea mtandao wa fursa za maendeleo.  Akizungumza katika uzinduzi huo, msemaji wa @Gen_samia, Sonata Nduka, amesema programu hiyo inalenga kuwa chachu ya […]

FEATURE
on Dec 3, 2024
163 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

FEATURE
on Dec 3, 2024
109 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Awataka watumishi kuchapa kazi kutimiza lengo la Serikali Dodoma Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za VIjijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amewashukuru Watanzania wote waliojitokeza na kumpigia kura wakati akiwania tuzo za Mtendaji/Mkurugenzi Mkuu Bora wa mwaka 2024 kati ya Wakurugenzi 100 walioteuliwa kuwania tuzo hizo (Top 100 Executive […]

FEATURE
on Dec 3, 2024
151 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Magari yanayotumia umeme yawa kivutio Wadau waonesha vifaa vinavyotumia umeme kidogo kwa gharama ndogo Dkt. Mataragio asema Matumizi Bora ya Nishati yanalenga kupunguza uzalishaji hewa ya ukaa Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati unaojumuisha Viongozi na Wadau mbalimbali kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)  na Jumuiya ya […]

FEATURE
on Dec 3, 2024
173 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA SERIKALI YASEMA UNYANYASAJI DHIDI YA WENYE ULEMAVU SASA BASI Wakuu wa Mikoa waagizwa kusimamia mpango wa taifa haki na Ustawi kwa wenye ulemavu Halmashauri zatakiwa kutenga Bajenti ununuzi wa teknolojia saidizi kwa wenye ulemavu   Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali haipendi kusikia na haitavumilia […]

FEATURE
on Dec 3, 2024
103 views 30 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -ARUSHA AMIRI Jeshi Mkuu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awatunuku Kamisheni maafisa wanafunzi 236 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha. Sherehe hizo zilifanyika jana mjini Monduli mkoani Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwamo wakuu wa majeshi wastaafu, Mirisho […]

FEATURE
on Dec 3, 2024
189 views 2 mins

Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM OFISI ya Bunge imefanyia mabadiliko ratiba ya maziko ya Mkurugenzi Mkuu Mteule wa Shirika la Afya Dunia (WHO) Kanda ya Afrika, ambaye pia ni Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ambaye amefariki usiku wa kuamkia Novemba 27, mwaka huu nchini India,  ambapo ratiba ya sasa inaonesha atazikwa Jumamne Desemba 3, […]

FEATURE
on Dec 3, 2024
131 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MWANAMITINDO  wa Kimataifa Mellen Happiness Magese ametangazwa kuwa Jaji Mkuu wa Tamasha la Samia Fashion Festival litakalofanyika leovisiwani Zanzibar. Akizungumza na waandishi wa habari jana baada ya kutangazwa kuwa Jaji Mkuu wa Tamasha hilo , Millen Magese alisema kuwa ni heshima  kubwa. Alisema kuwa ni furaha kwake kusimama kama Jaji Mkuu […]

FEATURE
on Dec 3, 2024
121 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM NI kampeni za lala salama. Ndivyo unaweza kusema, hasa baada ya vyama vya siasa nchini kupepetana kwa siku saba kwenye majukwaa ya kisiasa kusaka ushawishi kwa wananchi. Kutokana na hali hiyo sasa Watanzania leo wataamua kwa kupiga kura ili kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji huku CCM […]