Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 49)
FEATURE
on Nov 27, 2024
129 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Awahimiza Wananchi Kupiga Kura Kesho, Kuchagua CCM* Awapongeza kwa Kampeni za Zakistaarabu* Ataka Siasa Ziwe Daraja la Kuunganisha na Kushindanisha Mawazo* Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa […]

FEATURE
on Nov 27, 2024
113 views 57 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Afunga  kwa kishindo Kampeni za CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mbinga* Asema CCM ni tumaini la Watanzania; Ipate kura za Ndiyo* Akumbusha kuwa miradi ya maendeleo iliyopo ni kielelezo cha viongozi makini wa CCM* Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith […]

FEATURE
on Nov 26, 2024
125 views 38 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, leo tarehe 26 Novemba 2024, akiwasili katika Viwanja vya Kwamnyani, Mbagala wilayani Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga rasmi kampeni za Serikali za Mitaa kwa mkoa huo. Ni mkutano wa mwisho kwa ajili uchaguzi wa […]

FEATURE
on Nov 26, 2024
135 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kiwengwa FC yaibuka bingwa wa michuano hiyo. Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa ameshuhudia mchezo wa fainali ya kombe la jimbo maarufu Jimbo cup kati ya Stand fc na Kiwengwa FC uliofanyika katika uwanja wa mpira wa miguu wa Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi. Katika mchezo huo uliopigwa […]

FEATURE
on Nov 25, 2024
175 views 15 secs

Na Mwandishi wetu, Tanga Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeibuka mshindi wa jumla katika riadha kwa wanawake kwenye mashindano ya SHIMMUTA 2024 yaliyohitimishwa Mkoani Tanga tarehe 24 Novemba, 2024. Katika mashindano hayo NCAA iliwakilishwa na wanariadha watatu ambapo Juliana Lucas aliibuka mshindi wa kwanza kwenye mbio za mita 200 na mshindi wa pili kwenye […]

FEATURE
on Nov 25, 2024
221 views 17 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa wito kwa wakazi wa jiji hilo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika kesho, Novemba 27, 2024. Akizungumza na vyombo vya habari, Chalamila amesema maandalizi yote yamekamilika, hali ya usalama ni shwari, na vyombo […]

FEATURE
on Nov 25, 2024
117 views 5 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Mhe. Balozi , Dkt. Pindi Chana (Mb) amekinadi Chama cha Mapinduzi huku akiwaomba wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024. Ameyasema hayo katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya […]

FEATURE
on Nov 25, 2024
157 views 4 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya DCEA Kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Dola,imekamata jumla ya kilogram 2,207,56 za dawa za kulevya na dawa tiba zenye asili ya kulevya Katika mikoa ya Tanga na Dar es salaam Akizungumza na Mwandishi wa habari jijini dar es […]

FEATURE
on Nov 25, 2024
154 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Tanzania  kupitia  shirika la uwakala  wa Meli Tanzania (TASAC) imeteuliwa  kuwa  nchi mwenyeji kwenye  wa Makutano wa  saba (7) wa akimataifa wa jumuiya ya  Mamlaka za usimamizi wa usafiri  Majini Barani Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe  29 novemba  hadi 10 Disemba 2024 jijini Dar es salaam. Akizungumza na waandishi wa […]

FEATURE
on Nov 25, 2024
148 views 5 mins

Bodi ya TAWA yaridhishwa na uboreshaji wa miundombinu ya utalii* Na Beatus Maganja, Arusha. MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeanza rasmi utekelezaji wa mikakati ya kuiendeleza na kuiandaaย  Hifadhi ya Makuyuni Wildlife Park iliyopo Mkoani Arusha Kwa ajili ya kupokea wageni wengi zaidi kwa kuongeza mindombinu ya utalii hususani barabara, ujenzi wa mabwawa […]