Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa wilaya ya ubungo,Mh Hassan bomboko ameipongeza Taasisi ya Yemco kwa kusaidia vikundi vya vikoba vga akina mama mbalimbali nchini kufikia Malengo yao kiuchumi na KIJAMII. Akizungumza kwenye mkutano mkuu wa mwaka 8 wa Taasisi hiyo, uliofanyika Leo Oktoba 31 2024 jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na washiriki zaidi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -MAREKANI RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelezea dira yake ya kuifanya Tanzania kuwa mzalishaji mkubwa wa chakula barani Afrika kupitia mikakati mitatu mikuu ya Serikali katika sekta ya kilimo. Akiwa nchini Marekani jana aliposhiriki kwenye mjadala kuhusu kilimo barani Afrika katika mji wa Des Moines, Iowa, Rais Samia alisisitiza kuwa Serikali […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Azindua Jengo la Kisasa la Upasuaji Sengerema DDH na Mradi wa Umeme wa Jua Ahimiza wananchi kutunza miundombinu ya hospitali Ataja mageuzi makubwa yaliyofanywa katika sekta ya afya Alipongeza Kanisa Katoliki, awashukuru wafadhili wa miradi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kutekeleza miradi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Vijiji 32 vyenye wateja zaidi ya 8,000 vimeunganishiwa umeme REA imeuwezesha mradi wa Mwenga Hydro shilingi bilioni 16.6 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kipaumbele kwenye ujenzi wa miradi ya nishati jadidifu nchini ili kusaidia utunzaji wa mazingira, kuzalisha umeme wa uhakika na kutoa ajira kupitia miradi hiyo. Hayo yamebainishwa leo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mvua kwa msimu wa Novemba 2024 hadi Aprili 2025, ikisisitiza umuhimu wa maandalizi katika sekta mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa Leo Kamu Mkurugenzi wa mamlaka hiyo Ladislaus Chang’a alisema mvua za msimu zinatarajiwa kuanza kati ya wiki ya pili na ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kuhusisha transfoma za kVA50, 100 na 200* Vitongoji ambavyo havijapata umeme kufikiwa* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali inatarajia kuanza mradi mpya wa upelekaji umeme vitongojini utakaohusisha ujenzi wa njia za kati na ndogo za kusafirisha umeme. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Oktoba 31, 2024 bungeni jijini Dodoma […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -PWANI MKURUGENZI wa Uwekezaji Ofisi ya Msajili Hazina Lightness Mauki, amesema uwekezaji wa Serikali katika mashirika ya umma nchini umefikia Shilingi trilioni 86 kufikia mwaka 2024. Kutokana na hali hiyo amewataka viongozi wa mashirika ya umma kuhamasisha wananchi wanapata tija kwa uwekezaji huo. Hayo aliyasema jana wakati akifunga mafunzo kwa viongozi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DODOMA NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka watendaji na watumishi katika taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati kuwa na umoja, ushirikiano na ubunifu ili kusogeza huduma bora kwa wananchi ikiwemo za umeme, mafuta na Nishati Safi ya Kupikia. Kauli hiyo aliitoa jana jijini Dodoma wakati […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR E SALAAM RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wake wa marais Afrika kutambua kuwa wana nafasi muhimu kwa jamii na kuwaomba wabebe suala la nishati safi ya kupikia kwa hekima na kwa ushawishi mkubwa kwa marais. Pamoja na hali hiyo amewataka waendelee kutoa ushauri wa hekima katika kuangalia namna ya […]