Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Tanganyika, Katavi Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa vivuko na daraja la Mto Mnyamasi lenye urefu wa mita 20 pamoja na kufungua barabara ya Kambanga-Ifinsi yenye urefu wa Kilomita 37 inayounganisha vijiji vya Ifinsi, Kambanga na Bugwe vilivyopo kata ya Tongwe Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Yakoshwa na ETDCO kuongeza ufanisi wa kazi* Kapinga asema Serikali itaendelea kuboresha upatikanaji wa Nishati safi ya Kupikia* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa kwake na majukumu yanayotekelezwa na Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini yake katika kuiimarisha Sekta ya Nishati nchini. Pongezi hizo zimetolewa […]
Na Mwandishi Wetu Mwezi mmoja baada ya ziara ya Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoifanya nchini China, Tanzania imefanikiwa kusaini Hati ya Ushirikiano ya uwekezaji na mafunzo na Kampuni ya Huduma za Mawasiliano ya Kielekroniki ya China (CECIS LTD) utakaowezesha kampuni zaidi ya 600 za vifaa vya Kompyuta kuwekeza nchini. Makubaliano hayo […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Nchengerwa amesema wananchi waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 wamekuwa wengi zaidi kuliko wale wa uchaguzi uliopita uliofanyika mwaka 2019. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Lahusisha nchi 21 na Washiriki 800* Kuangazia Sera, fursa za masoko na uwekezaji* Kamishna Luoga asema lengo ni kuendeleza nishati ya Jotoardhi nchini* UNEP yaipongeza Tanzania kwa maandalizi* Kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika (ARGeo-C10) limeanza kwa mafanikio jijini Dar es Salaam ambapo Wataalam takriban 800 kutoka 21 duniani wameshiriki. Hayo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Oktobaย 16, 2024 amemwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maziko ya Mzee Jeremiah Kusiluka ambaye ni Baba mzazi wa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka yaliyofanyika katika kijiji cha Madihani, Makete mkoani Njombe. Akitoa salamu za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu amesemaย […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KLABU ya Yanga imeendelea kuwa mbabe kwa mpinzani wake mkubwa Simba Sc mara baada ya leo kupokea kichapo cha bao 1-0 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo ambao ulikuwa wa aina yake, tumeshuhudia kandanda safi kutoka kwa […]