Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 65)
FEATURE
on Oct 19, 2024
209 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wanariadha wa Jeshi la Polisi na Jeshi la Wananchi waliofanya vyema katika mashindano ya Mbio ndefu na fupi katika michuano ya mbio maarufu NAGAI City Marathon 2024 wamepongezwa kwa kuibuka washindi wa kwanza na kupewa medali za dhahabu. Pongezi hizo zimetolewa na Afisa Mnadhimu wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi […]

FEATURE
on Oct 19, 2024
186 views 14 secs

Na Mwandishi Wetu Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imetembelea na kukagua ujenzi wa jengo la kituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lenye thamani ya Tsh. bilioni 1.9 katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma. Akizungumza baada ya kukagua mradi huo Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge Mhe.Vita Kawawa […]

FEATURE
on Oct 19, 2024
215 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Taasisi ya World Travel Awards imetangaza hifadhi mbili za Tanzania kuwa washindi katika vipengele vya hifadhi na kivutio bora cha utalii barani Afrika kwa mwaka 2024. Hifadhi ya Taifa Serengeti imetangazwa kuwa mshindi katika kipengele cha Hifadhi Bora Barani Afrika (“Africa’s Leading National Park 2024”) wakati Mlima Kilimanjaro ikitangazwa […]

FEATURE
on Oct 19, 2024
240 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

FEATURE
on Oct 18, 2024
279 views 32 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza kurejeshwa kwa Eneo la takribani Mita za Mraba 7503 na Shilingi Milioni 500 zilizokuwa mali ya Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto wa Yesu Linalopatikana Jijini Arusha. Kwaniaba ya Mhe. Rais Samia […]

FEATURE
on Oct 17, 2024
197 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Zaidi ya bilioni 13 zaboresha miundombinu vijijini Ludewa,Njombe Bunge wa Ludewa (CCM) Mhe. Joseph Kamonga  ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)  kwa kutenga asilimia thelathini ya fedha kwaajili ya kuviwezesha vikundi kazi vya kijamii  ambavyo vinajishughulisha na matengenezo madogo madogo ya miundombinu wilayani hapo. Pongezi hizo amezitoa mbele […]

FEATURE
on Oct 17, 2024
263 views 2 mins

Na MADINA MOHAMMED WAMACHINGA Serikali inatarajia kutumia Shilingi Bilioni 600 kwa ajili ya kugharamia Miradi mitatu  itakayoboresha huduma ya usafirishaji kwa njia ya maji mkoani Kigoma  na maeneo yanayozunguka. Akizungumza  wakati wa kufungua  mkutano wa pili wa kimataifa wa lojistiki na Uchukuzi,Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa  amesema miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa […]

FEATURE
on Oct 17, 2024
114 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KAMATI  Tendaji ya Utekelezaji wa Mradi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuimarisha Uangazi wa Hali ya Hewa (SOFF) imekutana kwa mara kwanza katika ukumbi wa hoteli ya Morena, Morogoro, tarehe 16 Oktoba 2024, ikiwa na lengo la kupitia na kuidhinisha nyaraka muhimu za kuanza rasmi utekelezaji wa Mradi huo […]

FEATURE
on Oct 17, 2024
229 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Jiji la Mwanza kufumuliwa kila eneo na kulifanya lenye hadhi nchini Asema ametoa bilioni 24/- ujenzi wa barabara za lami katika jiji hilo na kuupongeza Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) kwa usimamizi mzuri aonya wakandarasi waliopewa kazi ya ujenzi -MWANZA WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za […]