Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Jana oktoba 9,2024 Umoja wa Shirikisho la Wamachinga Tanzania SHIUMA umezindua mpango kazi (Operesheni ) ya kampeni ya “Mama Tuvushe 2025 “ Wamezindua mpango kazi huo (Operesheni )utakaofanyakazi nchi nzima kuzunguka kutokana na maadhimio ya kampeni hiyo,Yote hayo yamejiri wakati wa kikao chao walichokifanya leo mkoani Iringa mbele ya Wamachinga waliojitokeza […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM USHIRIKIANO kati ya Taasisi ya Adani Foundation na IITM Zanzibar kwa pamoja wamekubaliana katika kuboresha elimu ya juu nchini katika kuunda fursa kwa vijana, hasa wale wanaotoka katika familia zenye hali duni. Kwa kuanzisha programu wezeshi ya Sayansi ya Takwimu, Akili Bandia na Miundo ya Baharini, huu ni […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. Philip Mpango ameweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi na upanuzi wa Kiwanja cha ndege Tabora na kuipongeza Wizara ya Ujenzi wa kazi wanayoifanya katika mradi huo. Akizungumza leo tarehe 9 Octoba 2024 mara baada ya kukagua na kuweka jiwe […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt.Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian kuhusu kushirikiana katika maeneo mbalimbali ya Sekta ya Maliasili na Utalii hususan kuwekeza kwenye maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji. Kikao hicho kimefanyika leo Oktoba 9, 2024 Mkoani […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali Yawapongeza Wanaradiografia kwa Mchango wao kwa Jamii Uwekezaji katika Sekta ya Afya Waokoa Fedha Tanzania Nchi ya Nne Afrika kuwa na PET SCAN Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya vifaa vya uchunguzi na vifaa tiba katika kuboresha […]
Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili na kupokelewa rasmi Mkoa wa Shinyanga, leo tarehe 9 Oktoba 2024, tayari kuanza ziara ya siku tatu katika maeneo mbalimbali ya wilaya za mkoa huo. Balozi Nchimbi ambaye ameambatana na Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama ikiwemo jeshi la polisi, jeshi la akiba pamoja na wananchi imefanya operesheni kubwa ya kihistoria kwa muda wa wiki tatu katika wilaya ya Tarime na Serengeti, mkoani Mara kwa lengo la kukabiliana na tatizo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA REA kusambaza mitungi ya gesi 3,225 Gairo, yaendelea kugawa majiko banifu kwa wananchi Na MWANDISHI WETU -GAIRO RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa ruzuku ya bei kwenye mitungi ya gesi inayotolewa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ili Watanzania watumie nishati safi na salama kwa afya zao pamoja na kuhifadhi mazingira […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Atoa wito kwa Watanzania kuyaishi maono ya Rais Samia Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali imeandaa mkakati madhubuti wa Nishati Safi ya Kupikia wenye lengo kuwaondoa watanzania katika adha itokanayo na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia. Balozi Chana ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akihamasisha […]