BASHUNGWA AWABANA WAKANDARASI WANAOJENGA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA,ATAKA KAZI IKAMILIKE KWA WAKATI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi na usimamizi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Dodoma (Dodoma Outer Ring Road) km 112.3, sehemu ya Ihumwa Dry Port – Matumbulu – Nala (km 60) kwa kiwango cha lami na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya AVIC kuwasilisha mpango […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Yakusanya bilioni 76.497/- sawa na asilimia 103.31 ya makusanyo mapato yaliyotarajiwa ZANZIBAR MAMLAKA ya Mapato Zanzibar (ZRA), imevunja rekodi ya makusanyo ya kodi kwa Septemba mwaka huu kwa kukusaya kiasi cha Shilingi bilioni 76.497/- sawa na asilimia 103.31. Hatua hiyo imekuja baada ya kuvuka lengo kwa mwezi Septemba mwaka huu ZRA […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Klabu ya mpira ya Yanga imeahidi kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuchangia matibabu ya moyo kwa watoto wasio na uwezo, kutoa uelewa kwa jamii kuhusu magonjwa ya moyo na kutangaza huduma zinazotolewa na Taasisi hiyo. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Rais wa klabu ya Yanga […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa wito kwa wadau wote kuunganaย kuhakikisha kila mlipa kodi analipia kodi inayostahili Ili kukuza uchumi wa nchi hususani Mkoa wa Dar es salaam. RC Chalamila ameyasema haya leo Oktoba 2 ,2024 wakati akifungua Kongamano la Kodi lililofanyika ukumbi wa Julius […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Asema Rais Samia amefanya uwekezaji katika sekta ya maji zaidi ya Bilioni 490. -Mitambo ya bilioni 6 kufungwa ili kumaliza changamoto ya kukosekana kwa maji -Aitaka DAWASA kusimamia kwa karibu upotevu wa maji. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Oktoba 2, 2024 amefanya ziara katika ofisi […]
Na Beatus Maganja Wananchi wapongeza jitihada za Serikali. SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii na taasisi yake ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imetenga fedha zaidi ya shilingi milioni 210 kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kwa ajili […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkurugenzi Mkuu aweka wazi sasa michango yake yafikia trilioni 8.5/- Achambua namna Serikali ya Awamu ya Sita ilivyotanua wigo wa waajiri na waajiriwa nchini kwa asilimia 70 hadi sasa -DAR ES SALAAM MFUKO wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeongezeka kutoka S tirioni 8.4 mwaka 2021 hadi kufikia tirioni 8.5 mwaka 2024 […]