Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA IRAMBA Afisa Mtendaji Mkuu wa WazoHuru Media Ndg Mathias Canal amechangia jumla ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili shule ya Msingi Tutu iliyopo katika Kata ya New Kiomboi, Wilayani Iramba katika mkoa wa Singida. Akizungumza wakati wa Mahafali ya 70 ya shule hiyo iliyofanyika tarehe 1 […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameweka jiwe la msingi na kuzindua Mradi wa Maji wa Kilewani wenye gharama ya shilingi milioni 597.6. Uzinduzi huo umefanyika katika Kijiji cha Kilewani Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa leo Oktoba 1,2024. Akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara, Mhe. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo leo Oktoba 1,2024. Mhe. Chana amefanya kikao na Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Katibu Tawala […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema hekta 469,000 za misitu zinateketea kwa shughuli za binadamu* Asisitiza Nishati Safi ya Kupikia si anasa* Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Maryprisca Mahundi amesema nchi inakwenda kushuhudia mageuzi makubwa ya utunzaji wa mazingira kupitia Mkakati wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ambao kinara wake […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MAREKANI WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa alifanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Amref Health Africa Dkt. Githinji Gitahi, kando ya Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 79) ambao alishiriki kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan Jijini New York, Katika mazungumzo hayo yalifanyika juzi, Majaliwa alilipongeza shirika […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema ikiwa jamii haifanya hivyo kuna hatari ya kuzalisha viongozi katili kwa Taifa la kesho, aipongeza NMB kuunga mno kampeni ya Mtoto wa leo Samia wa kesho TANGA NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Doto Biteko amewataka wazazi na walezi nchini kuhakikisha wanalea watoto wao katika misingi iliyo bora ili […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DODOMA MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam. Ni katika kesi ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema aliishi maisha uaminifu, nidhamu na uchapakazi, kitabu cha maisha ya Edward Sokoine chazinduliwa rasmi Singo aeleza nyakati ngumu wakati wa uandishi wa kitabu na namna alivyojikuta amefika ofisini kwa Rais Samia bila kujua DAR ES SALAAM RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa kisiasa, watendaji wakuu na vijana wa vyama […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAZIRI CHANA AKAGUA MIRADI YA KIMKAKATI HIFADHI YA TAIFA NYERERE Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amekagua maboresho ya miradi mbalimbali ya kimkakati katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere Mkoani Ruvuma. Akiwa katika ziara hiyo leo, Septemba 29, 2024 Mhe. Chana amekagua ujenzi wa kiwanja cha ndege, […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MUSCAT-Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) ni miongoni mwa taasisi zilizoshiriki katika Kongamano la Kibiashara baina ya Tanzania na Oman lenye lengo la kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uchumi baina ya nchi hizo mbili. Kongamano hilo lililohusisha takribani watanzania 300 limefanyika leo Septemba 29, 2024 katika Hoteli ya Sheraton iliyopo […]