Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 81)
FEATURE
on Sep 11, 2024
328 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Viongozi wa Shirikisho la  Umoja wa wafanya biashara ndogondogo (Machinga)kutoka katika Mikoa  20 ya Tanzania bara wamekutana leo 11Septemba mwaka huu  jijini Dar es Salaam ambapo wamekuwa na maazimio mbalimbali ya kuimarisha umoja wa shirikisho hilo. Akizungumza katika mkutano huo Uliofanyika JM Hotel Mwenyekiti wa Muda wa shirikisho […]

FEATURE
on Sep 11, 2024
284 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DODOMA WAZIRI Mkuu  Kassim Majaliwa amesema suala la uhifadhi wa mazingira liwe ajenda ya Kitaifa na jukumu la kila mmoja kuanzia ngazi ya familia mpaka Taifa. Kauli hiyo aliitoa jana wakati akifunga mkutano maalum wa viongozi na wadau wa mazingira ulioitishwa ili kujadili mwenendo wa mazingira nchini, mkutano ambao ulifanyika kwenye […]

FEATURE
on Sep 11, 2024
309 views 2 mins

Na Mahamudu Jamal WMA Wakala wa Vipimo (WMA) imekabidhi msaada wa vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa kipolisi Ilala, Septemba 10, 2024 katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam. Akiongoza makabidhiano hayo kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa WMA, Meneja wa […]

FEATURE
on Sep 11, 2024
370 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Puma Energy Tanzania kupitia PumaGas imezindua kampeni ya Bei kama Mkaa tu faida kibao yenye lengo la kuwahimiza wananchi kupika kwa nshati ya gesi. Uzinduzi wa […]

FEATURE
on Sep 10, 2024
253 views 3 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza Watanzania kunufaika na rasilimali zinazochimbwa katika maeneo yao kwa kutoa fursa mbalimbali  ikiwemo  ajira. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Septemba 10, 2024 mkoani Mtwara katika hafla ya kukabidhi […]

FEATURE
on Sep 10, 2024
340 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MAMLAKA  ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilogramu  1,815 za dawa za kulevya aina ya skanka katika operesheni iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Ukamataji huo uliohusisha watuhumiwa watano wanaodaiwa kuhusika na dawa hizo umefanyika kupitia operesheni  iliyofanyika Agosti 28 hadi Septemba 2 mwaka huu katika maeneo ya […]

FEATURE
on Sep 10, 2024
288 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ashuhudia makabidhiano leseni  ya uendelezaji Gesi Asilia Kisima cha Ruvuma* Azitaka TPDC na ARA Petroleum kutoa kipaumbele kwa wazawa katika ajira* Kitalu cha Ruvuma kuzalisha Gesi futi ujazo trilioni 1.6* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuvutia wawekezaji katika tafiti na uchimbaji wa […]

FEATURE
on Sep 10, 2024
271 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mradi wa Kupambana na Ujangili na Biashara Haramu ya Wanyamapori (IWT) ulio chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii, umekabidhi mizinga  ya kisasa 300, vifaa mbalimbali vya kufugia nyuki na kusindika asali  vyenye gharama ya shilingi milioni 50 kwa Jumuiya za Hifadhi ya Wanyamapori (WAGA). Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. […]

FEATURE
on Sep 9, 2024
221 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TPDC yatekeleza maagizo ya Dkt.Biteko Msimbati* Wananchi kuanza kunufaika na uwepo wa kituo cha Afya na Polisi* Kapinga asisitiza ushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa* Naibu Waziri Nishati, Mhe.  Judith Kapinga amesema kuwa dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha wananchi […]

FEATURE
on Sep 9, 2024
343 views 57 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) umenufaisha kikundi wa  kijamii cha COCOBA Chekereni Mikumi Mkoani Morogoro kwa kutoa shilingi milioni 28.8  huku wakimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujali vikundi vya kijamii ili kujikwamua kiuchumi. Akizungumza […]