Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mwalimu Mkuu aeleza namna Nishati Safi ya Kupikia ilivyookoa nusu ya gharama* Aeleza athari zilizopatikana wakati wakitumka nishati isiyo safi* Moja ya maagizo ya Serikali kuelekea katika safari matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia nchini ni taasisi zikiwemo shule kuachana na matumiziย ya nishati zisizo safi na salama kama kuni na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezishukuru Taasisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA ) kwa kuonesha Wanyamapori hai kwenye Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Kusini Unguja visiwani Zanzibar. Ameyasema hayo leo Agosti 25,2024 kwenye […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan amekabidhi cheti cha pongezi kwa ushiriki wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwenye tamasha la Kizimkazi Festival 2024 Hafla ya chakula cha usiku iliyofanyika Ikulu ndogo Kizimkazi Zanzibar. Cheti hicho cha pongezi kimepokelewa kwa niaba ya Kamishna […]
Na Beatus Maganja DAR ES SALAAM YATARAJIA KUIINGIZIA SERIKALI ZAIDI YA BILIONI 27 KWA MWAKA* Zipline, Loji zenye hadhi ya nyota 5 na Kambi za Kitalii zenye hadhi ya nyota 4 kujengwa MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA leo Agosti 24, 2024 imetia saini mikataba minne (4) ya uwekezaji wa miundombinu ya utalii […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Lengo ni kuimarisha uchumi wa kidijitali Sekta binafsi yatakiwa kuchangamkia fursa Azindua Mpango wa Ujuzi wa Kidigitali kwa Wote – Digi Truck Serikali itaendelea kutoa kipaumbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ili iweze kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya kiuchumi kama inavyoelekezwa katika Dira ya Taifa ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar. Wizara ya Nishati inashiriki katika tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma moja kwa moja kwa wananchi kwa kushirikiana na Taasisi zake pamoja na kutoa elimu […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 24,2024 ametembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii na kujionea vivutio mbalimbali vya wanyamapori kwenye maonesho ya Tisa ya Tamasha maarufu la Kizimkazi Kusini Unguja visiwani Zanzibar. Akiwa katika banda hilo, huku akiongozwa na mwenyeji wake […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ย WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kufungua mtandao wa barabara za vijijini katika wilayaya Ruangwa ili ziweze kusaidia wananchi kusafirisha mazao yao. Waziri Mkuu Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa alitoa kauli hiyo jana jioni (Ijumaa, Agosti 23, 2024) wakati akizungumza na wakazi wa kijiji cha Namikulo, Kata […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ashiriki Kongamano la Nishati Safi ya kupikia Zanzibar Ahamasisha ubunifu katika teknolojia za Nishati Safi ya Kupikia Apongeza ubunifu wa mita za kupimia gesi Wadau wahamasishwa kutoa elimu ya Nishati Safi ya Kupikia Imeelezwa kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye ni kinara wa […]