Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 87)
FEATURE
on Aug 24, 2024
348 views 37 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Naibu Waziri wa Nishati,  Mhe. Judith Kapinga  amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar. Wizara ya Nishati  inashiriki katika  tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma  moja kwa moja kwa wananchi kwa kushirikiana na  Taasisi zake pamoja na kutoa elimu […]

FEATURE
on Aug 24, 2024
406 views 5 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 24,2024 ametembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii na kujionea vivutio mbalimbali vya wanyamapori kwenye maonesho ya Tisa ya Tamasha maarufu la Kizimkazi Kusini Unguja visiwani Zanzibar. Akiwa katika banda hilo, huku akiongozwa na mwenyeji wake […]

FEATURE
on Aug 24, 2024
289 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ย WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kufungua mtandao wa barabara za vijijini katika wilayaya Ruangwa ili ziweze kusaidia wananchi kusafirisha mazao yao. Waziri Mkuu Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa alitoa kauli hiyo jana jioni (Ijumaa, Agosti 23, 2024) wakati akizungumza na wakazi wa kijiji cha Namikulo, Kata […]

FEATURE
on Aug 24, 2024
219 views 26 secs

Na Madina Mohammed WAMACHINGA

FEATURE
on Aug 23, 2024
223 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ashiriki Kongamano la Nishati Safi ya kupikia Zanzibar Ahamasisha ubunifu katika teknolojia za Nishati Safi ya Kupikia Apongeza ubunifu wa mita za kupimia gesi Wadau wahamasishwa kutoa elimu ya Nishati Safi ya Kupikia Imeelezwa kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye ni kinara wa […]

FEATURE
on Aug 23, 2024
264 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) ameipongeza Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa jitihada zake za kulinda maeneo ya misitu nchini na kuwasisitiza kuwa wabunifu na kuongeza mashamba ya miti. Mhe. Chana ameyasema hayo leo Agosti 23,2024 wakati wa kikao na Menejimenti, Maafisa na […]

FEATURE
on Aug 23, 2024
293 views 36 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe Dkt. Doto leo Agosti 23, 2024 anashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika katika Hoteli ya Kwanza, Kizimkazi-Zanzibar. Kabla ya kushiriki Kongamano hilo, Dkt.Biteko alitembelea Mabanda ya Maonesho ya Wadau wa Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia ambao wanatoa elimu ya […]

FEATURE
on Aug 22, 2024
270 views 24 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa, kuni na nyinginezo. Matumizi ya nishati zisizo safi husababisha athari za kimazingira zinazopelekea mabadiliko ya tabianchi kama kuongezeka kwa joto, mvua zisizokuwa na mpangilio, ukameย  pamoja na uharibifu wa mfumo wa ikolojia.

FEATURE
on Aug 22, 2024
292 views 51 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati za Usalama, Viongozi wa Chama na Serikali, Wenyeviti mitaa/Vijiji na Madiwani wa Wilaya ya Kisarawe na Ubungo Leo Wamekutana kutatua Kero na Changamoto ya MIPAKA katika Maeneo ya MLOGANZILA NA KISOPWA – KINGANZI B Kikao kazi Kimeazimia Kufanyika kwa Mkutano wa Hadhara katika eneo lenye mgogoro ili kutoa elimu kwa […]

FEATURE
on Aug 22, 2024
227 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Lengo ni kuimarisha unganishwaji wa huduma ya umeme katika maeneo yote nchini Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan amedhamiria kila mtanzania kupata umeme kwenye nyumba yake kuanziaย  ngazi za mikoa mpaka vitongoji. Mhe. Kapinga amesema hayo Agosti 21, 2024 […]