Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 90)
FEATURE
on Aug 7, 2024
267 views 4 mins

NA Anton Kiteteri Awambia wanayanga waje waone mpira wa hesabu. Dar es Salam KATIKA kuelekea mchezo wa leo wa Ngao ya Jamii kati ya watani wa jadi Simba na Yanga,msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amewambia wanachama na mashabiki wa Simba wafurahie hata kama watafungwa kwa maana watakuwa wamefungwa na timu bora. Manara  ambaye […]

FEATURE
on Aug 4, 2024
440 views 20 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA

FEATURE
on Aug 4, 2024
239 views 4 mins

Veronica Simba na Paulus Oluochi – WMA* Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi kutoka Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Albogast Kajungu, amesema WMA ina mchango mkubwa katika sekta ya kilimo hususani katika mazao ya kimkakati ambayo ni korosho, ufuta, kahawa, tumbaku na pamba. Amebainisha hayo Agosti 3, 2024 wakati akizungumza na waandishi wa habari katika […]

FEATURE
on Aug 4, 2024
187 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ikiwa ni siku ya tatu katika kuadhimisha sikukuu za wakulima zilizoambatana na maonesho yanayofanyika kanda zote nchini na Dodoma yakiwa yanafanyika kimataifa, Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania imeendelea kutoa elimu katika maeneo mbalimbali yanayohusiana na tasnia hiyo. Akijibu swali lililoulizwa na watembeaji kutoka mradi wa Kilimo Tija Kigoma chini ya […]

FEATURE
on Aug 4, 2024
279 views 2 mins

Na Richard Mrusha Dodoma NAIBU Waziri wa Kilimo David Silinde amewaasa wadau wa masuala ya kilimo kuiga mfano wa Pass leasing wa kutoa matrekta  kwa wananchi 9 ambayo yanakwenda kurahisisha kilimo kwa wananchi hao. Akizungumza katika banda la Agricom ambako zana hizo zilikabidhiwa kwa walengwa wakiwemo wanawake na vijana ambao ndiyo nguvukazinya ya Taifa Silinde […]

FEATURE
on Aug 3, 2024
367 views 2 mins

Na Madina Mohammed WAMACHINGA DAR ES SALAAM: Katika ripoti ya kina, Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Temeke Bw Holle Makungu, alifichua kuwa Taasisi hiyo ilikagua miradi yenye thamani ya jumla ya bilioni 28/- katika kipindi cha miezi mitatu. Alisema ukaguzi huo ulihusisha miradi sita ya Manispaa ya Temeke yenye thamani […]

FEATURE
on Aug 3, 2024
166 views 32 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mbio za hisani za Maendelo Bank zenye lengo kukusanya milioni 200 zitakazo saidia vituo viwili vya watoto  kwenye Hospitali ya KCMC Mkoani Kilimanjaro ambapo itasaidia  watoto waliozaliwa chini ya miezi 9 pamoja na kituo cha watoto yatima cha mtoni […]

FEATURE
on Aug 3, 2024
254 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *Apinga matokeo mahakamani ALIYEKUWA urais wa Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS), Wakili Sweetbert Nkuba ametangaza kupinga matokeo mahakamani yaliyompa ushindi Wakili Boniface Mwabukusi huku akitaja sababu mbalimbali anazodai zimehujumu uchaguzi huo. Akizungumza jana jijini Dodoma, Wakili Nkuba alisema hakubaliani na matokeo hayo na anapinga  matokeo yaliyotangazwa na Kamati ya uchaguzi ya […]

FEATURE
on Aug 2, 2024
157 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Benki ya Biashara Tanzania (TCB) leo imesaini mkataba wa makubaliano (MOU) naWakala wa serikali wa uwezeshaji wananchi kiuchumi zanzibar ( ZEEA) Makubaliano haya ya kimkakati yanalenga kuanzisha mpango maalum wa mikopo utakaonufaisha makundi maalum wakiwemo wanawake na vijana wanaojihusisha na shughuli za kiuchumi visiwani Zanzibar. Mpango huu unakusudia […]

FEATURE
on Aug 2, 2024
195 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Prof. Ikingura aongoza Kikao cha 19 Bodi ya GST Asisitiza kutangaza bidhaa na huduma zinazotolewa na GST Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeelekezwa kuendelea kuitangaza bidhaa inayoizalisha ya vyungu vya kuyeyushia sampuli za  miamba na udongo wenye madini ya dhahabu (crucibles) ili kuongeza makusanyo ya ndani na […]