Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 95)
FEATURE
on Jul 24, 2024
218 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema ni sehemu ya uhamasishaji wa matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia* Serikali kushirikiana na  Wadau upatikanaji Nishati Safi ya Kupikia hadi vijijini* Tanzani yatajwa  kinara  Nishati Safi ya Kupikia* Naibu Waziri Nishati,  Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika mwaka huu wa fedha itatoa mitungi […]

FEATURE
on Jul 23, 2024
253 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imetoa msaada wa madawati 60 yenye thamani ya Shillingi Millioni 5 (5,000,000) kwa Shule ya Msingi Changarawe iliyopo kata ya Mzumbe, Kijiji cha Changarawe wilayaniย  Mvomero Mkoa wa Morogoro. Akikabidhi madawati hayo kwa niaba ya Kamishna wa TAWA katika hafla ya kukabidhi madawati […]

FEATURE
on Jul 23, 2024
337 views 4 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waipongeza Serikali ya Rais Samia kuboresha huduma za jamii* Waomba kujengewa Barabara kusafirisha mazao* Dkt. Biteko aagiza kukamilishwa, kutumika Zahanati Kijiji Ilyamchele* Awahakikishia ukarabati wa Barabara ipitike nyakati zote* Wananchi wa Kijiji cha Ilyamchele, Kata ya Namonge Wilayani Bukombe wameipongeza Serikali kwa kuboresha huduma mbalimbali za jamii katika Kata hiyo huku […]

FEATURE
on Jul 23, 2024
274 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa(Mb) amewataka Wapangaji wanaokaa kwenye nyumba na majengo ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kutimiza wajibu wao wa kulipa kodi ya pango ili fedha hiyo itumike kujenga majengo mapya na kuboresha huduma katika majengo mengine ya Wakala huo. Bashungwa ametoa agizo hilo leo Julai 23, 2024 katika […]

FEATURE
on Jul 22, 2024
329 views 2 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Awataka kujindikisha na kujiandaa kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuchagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwenye uchaguzi mwaka huu ambao watakuwa mstari wa mbele kuleta maendeleo na kutatua changamoto zao kwa haraka. Dkt. Biteko ameyasema hayo […]

FEATURE
on Jul 22, 2024
356 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Kadi za mpiga kura zilizotolewa mwaka 2015 na 2020 ni halali na zitaendelea kutumika kwenye chaguzi kuu zijazo bila kujali mabadiliko ya jina la Tume ya Uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Akizungumza wakati wa ziara aliyoifanya ya kukagua vituo vya kuandikishia wapiga […]

FEATURE
on Jul 20, 2024
290 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Amezindua Ripoti ya Maendeleo ya Watu Tanzania, 2022 Wizara, Taasisi, Mashirika na wadau watakiwa kutoa maoni Makongamano ya kikanda kuendelea Imeelezwa kuwa, Dira ya Taifa ya Maendeleo ni picha na maono kuhusu mustakabali tarajiwa wa maendeleo ya nchi kwa siku za usoni. Hayo yamebainishwa leo Julai 20, 2024 na Naibu Waziri […]

FEATURE
on Jul 20, 2024
266 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Zajadili ushirikiano katika utafutaji,  usambazaji wa Gesi Asilia na Mafuta* Tanzania yaikaribisha Indonesia uendelezaji wa Jotoardhi* Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia, Pahala  Mansury ambapo mazungumzo yao yalijikita katika kuongeza ushirikiano kati ya nchi hizo […]

FEATURE
on Jul 20, 2024
272 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KIGOMA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa kwa mujibu wa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 jumla ya wapiga kura wapya 5,586,433 wataandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Amesema kuwa wapiga kura hao ni ambao watakuwa wametimiza umri wa miaka 18 katika kipindi cha kuanzia […]

FEATURE
on Jul 19, 2024
289 views 2 mins

Na Catherine Sungura,Chamwino Ujenzi wa barabara za Chamwino  umezingatia watembea kwa miguu na wanaofanya mazoezi Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff  amewaomba wananchi kutunza na kulinda miundombinu ya barabara ikiwemo taa za barabarani. Mhandisi Seff ametoa wito huo wakati wa ukaguzi wa barabara zilizojengwa na TARURA kwa […]