CHUO CHA KODI IMEOMBWA KUFANYA MAFUNZO YA KODI NA FORODHA ILI KUONGEZA MAKUSANYO YA KODI KITAIFA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali kupitia Wizara ya Fedha imesema inatambua mchango wa chuo cha kodi kwenye kutoa mafunzo ya kodi na forodha hivyo kuongeza makusanyo ya kodi kwenye Taifa. Hayo ameyasema leo jijini dar es salaam Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Elijah Mwandumbya akimwakilisha Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kwenye Mahafali ya kumi […]