RC SENYAMULE ASIFU UTASHI WA RAIS SAMIA, AKIAHIDI KUSHIRIKIANA NA MAHAKAMA KUTIMIZA NIA NJEMA YA RAIS SAMIA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameahidi kuwa Serikali ya mkoa wa Dodoma itaendelea kushirikiana na Makao makuu ya Mahakama ya Tanzania yaliyopo Dodoma katika kuhakikisha kuwa dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan inatimia katika kuhakikisha wananchi wa Tanzania wanapata haki zao. Mhe. Senyamule amebainisha hayo leo Aprili 05, 2025 wakati Rais Samia […]