SWAHIBA WA NYERERE APONGEZA UONGOZI WA SAMIA,AKITIMIZA MIAKA 99
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mwanasiasa mkongwe nchini, Alhadji Mustapha Songambele amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuliongoza vyema taifa. Mzee Songambele ametoa pongezi hizo mbele ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi, leo Jumamosi, Mei 25, 2024. Balozi Nchimbi alikwenda nyumbani kwa Mzee Songambele Mwananyamala jijini Dar es Salaam kumfikishia […]