DKT BITEKO ASHIRIKI DUA YA MZEE MAJID NSEKELA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aiasa Jamii Kuwatunza Wazazi na Kuwaombea Dua* Asisitiza Upendo Miongoni mwa Wanajamii* Watanzania Wasisitizwa Kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa* *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameiasa jamii kuwa na utaratibu wa kuwatunza na kuwajali wazazi […]