WATUMISHI REA WATAKIWA KUFANYA KAZI KUENDANA NA KASI YA SERIKALI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asisitiza kuongeza ubunifu na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma Awataka kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa maadili Wizara ya Nishati yaipongeza REA kwa utekelezaji wa miradi Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu, ubunifu, juhudi, maarifa na upendo ili kuendana na kasi ya Serikali ya […]