AGIZO LA DKT.BITEKO LA KIGOMA KUPATA UMEME WA GRIDI KABLA YA 2025 LATEKELEZWA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TANESCO yaunganisha Kigoma na umeme wa Gridi kupitia Kituo cha Kidahwe* Mha.Nyamo-Hanga asema Serikali kuokoa sh.bilioni 58 zilizokuwa zikitumika kwenye umeme wa mafuta* Ataja miradi mingine ya kuimarisha umeme Kigoma* Agizo la Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt,Doto Biteko la kulitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutekeleza kwa kasi […]