TUENDELEE KUTUMIA TEKNOLOJIA KATIKA SHUGHULI ZA UHIFADHI – Dkt. Abbasi
Na. Joyce Ndunguru, Morogoro Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi ameelekeza kuendelea kwa matumizi ya teknolojia mbalimbali katika ulinzi wa rasilimali ya wanyamapori. Dkt. Abbasi ameyasema hayo leo Disemba 10, 2024, katika kikao na watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) kilichofanyika katika Makao Makuu ya TAWA Mkoani Morogoro. […]