RAIS SAMIA AWEKA MAZINGIRA BORA YA UWEKEZAJI SEKTA YA UTALII-WAZIRI KAIRUKI
Na Happiness Shayo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hasan imeendelea kuweka mazingira bora kwa wafanyabiashara na wawekezaji Sekta ya Utalii ili kuwarahisishia ufanyaji biashara na kuendelea kuikuza Sekta hiyo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angelllah Kairuki mara baada […]