DKT BITEKO:WAKANDARASI,REA FANYENI KAZI KWA UADILIFU NA KUKAMILISHA KWA WAKATI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Awataka REA, Wakandarasi kuwajibika utekelezaji wa miradi Mkataba wa Shilingi bilioni 362 wasainiwa Vitongoji 3,060 kupelekewa umeme Wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali ya Kimkakati ya Nishati hususan miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu na kukamilisha kwa wakati na REA kuwasimamia wakandarasi kwa kutenda haki. Hayo yamebaibishwa […]