BIASHARA
February 21, 2024
396 views 3 mins 0

DUKA JIPYA LA RELAXO KUFUNGULIWA,WAWEKEZAJI WAZIDI KUMIMINIKA

Kampuni Best Brand Distributor leo wamefungua duka jipya la tatu la viatu vya Relaxo aina zote ‘show room’ mtaa wa Morogoro /Samora ambapo ya kwanza lipo Mlimani Cty na la pili Mtaa wa Nkurumah eneo la kati kati ya jiji Clock Tower. Akizungumza jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Best Brand Distributor Khalid Salim amesema […]

BIASHARA, KITAIFA
February 20, 2024
356 views 3 mins 0

SERIKALI YAISHUKURU BENKI YA DUNIA KUFANIKISHA MRADI WA DMDP

Waziri wa Nchi,Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP) awamu ya pili utajenga barabara za lami katika Mkoa wa Dar es salaam kilomita 250, kuanzisha mfumo wa udhibiti wa taka ngumu, masoko 18 pamoja na vituo vya mabasi tisa. Mhe.Mchengerwa ameyasema hayo leo Februari 20, 2024 jijini Dar […]

BIASHARA, KITAIFA
February 19, 2024
266 views 4 mins 0

TANZANIA YAENDELEZA USHIRIKIANO WAO NA MISRI KUPITIA SEKTA YA UCHUKUZI

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Uchukuzi leo imekutana jijini Dar es Salaam na Wizara ya Uchukuzi ya Misri lengo ni kuendeleza mashirikiano ya kiuchumi ya sekta ya uchukuzi kati ya nchi hizo mbili na kudumisha mahusiano mazuri yaliopo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Waziri wa Uchukuzi Prof Makame Mbarawa amesema […]

BIASHARA
February 19, 2024
452 views 59 secs 0

CHALAMILA:WANANCHI MUJIANDAE KWA KUPANDA KWA BEI YA MAHARAGE

DAR ES SALAAM MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kujiandaa na bei ya juu ya maharage Akizungumzia suala la sukari katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Februari 19, 2024 katika uwanja wa Msufini Chamazi jijini Dar es Salaam, Chalamila amesema kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha bei […]

BIASHARA
January 31, 2024
495 views 4 mins 0

RAIS SAMIA AIPA HEKO WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI,ARIDHISHWA NA KASI YA UTENDAJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema serikali imedhamiria kuleta mageuzi makubwa katika Sekta ya Uvuvi, hivyo imeamua kutoa kipaumbele katika kukuza sekta hiyo kwa kuimarisha utendaji kazi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amebainisha hayo leo (30/01/2024) jijini Mwanza, wakati wa kukabidhi boti […]

BIASHARA, KITAIFA
January 19, 2024
413 views 5 mins 0

SERIKALI YAENDELEA KUSHUSHA GHARAMA ZA ULETAJI MAFUTA KULETA AHUENI KWA WANANCHI

*๐Ÿ“ŒDkt. Biteko asema gharama ya mafuta ni nafuu kulinganisha na nchi jirani* *๐Ÿ“ŒAsema kampuni ya mafuta TANOIL inaboreshwa ili kuleta ufanisi* *๐Ÿ“ŒAsisitiza PBPA ni nguzo ya Serikali katika uhakika wa upatikanaji mafuta* *๐Ÿ“ŒPBPA yazidi kudhibiti upotevu wa mafuta* Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, juhudi zinazofanywa na […]

BIASHARA, KITAIFA
January 13, 2024
428 views 56 secs 0

DR MALUGU:TUKO KWA AJILI YA KUISAIDIA SERIKALI LAKINI TUNAMITAJI MIDOGO

Mkurugenzi wa kampuni ya biashara ya mitandao Dr Queen Malugu Amesema Kuna watu wengi ambao wanaosoma wapo Kwa ajili ya kuajiliwa lakini yakati hizi ni ngumu sana kuajiliwa lakini wapo Kwa ajili ya kuisaidia serikali kwani Bado tunamitaji midogo Hayo ameyasema Leo Tarehe 13,2024 Katika Tafrija ambayo walioifanya wafanyabiashara hao pamoja na mkurugenzi wao wa […]

BIASHARA, KITAIFA
January 04, 2024
360 views 3 mins 0

MATINYI:AFURAHISHWA NA TRC KUSIMAMIA VYEMA UJENZI WA RELI WENYE UBORA

Msemaji Mkuu wa Serikali ambae pia ni Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Bwana Mobhare Matinyi ametembelea ujenzi wa Reli ya Kimataifa SGR kipande cha kwanza Dar Es Salaam – Morogoro katika stesheni ya Dar Es Salaam, January 03, 2024. Lengo la ziara hiyo nikujionea maendeleo ya ujenzi wa Reli ya SGR pamoja na kufahamu maandalizi […]

BIASHARA, KITAIFA
December 01, 2023
252 views 16 secs 0

NHC KUTWAA TUZO YA MSHINDI WA KWANZA KATIKA MASHIRIKA YA UMMA

Na Madina Mohammed MAMLAKA ya mapato Tanzania TRA imetoa Tuzo Kwa Shirika la Taifa la nyumba NHC Kuwa kundi la mashirika ya umma na kuwa mshindi wa kwanza Kwa kuweza kulipa Kodi kwa uwaminifu Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo ijumaa 01,2023 MENEJA wa Habari mahusiano ya shirika la nyumba Ndg.Muungano […]

BIASHARA, KITAIFA
November 22, 2023
303 views 56 secs 0

TBA KUWACHUKULIA HATUA KALI WADAIWA SUGU

Wakala wa majengo TBA imesema kuwa mpaka Sasa jumla ya fedha wanaowadai wapangaji wao ni Zaidi ya sh.bilion 7.8 ambazo zinazodaiwa Kwa wapangaji wake zikiwemo taasisi za umma. Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo Jumatano 22,2023 Mtendaji mkuu wa wakala wa majengo TBA Daud kondoro jambo hili limekuwa kikwanzo kwenye juhudi […]