Msanii wa Bongofleva Haitham Kim ambaye hivi karibuni Wasanii na Wadau wengine mbalimbali walianzisha kampeni ya kusaidia kuchangisha pesa kwa ajili ya matibabu yake amefariki leo katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke Jijini Dar es salaam. BNB ambaye ni Rafiki wa Mume wa Marehemu Haitham, ameithibitisha kuwa ni kweli Haitham amefariki leo Hospitalini hapo. Katika […]
SERIKALI imeendelea kutoa elimu ya kanuni mpya ya mafao ya pensheni (kikokotoo) na hadi Juni 30, mwaka huu wanachama wa mifuko ya pensheni 131,497 na waajiri 5,580 wamefikiwa na elimu hiyo. Aidha, Elimu hiyo imetolewa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwa […]
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji kwa kina askari wa kampuni ya ulinzi PASCO LTD 11, Maafisa wakala Huduma za misitu (TFS) wawili na askari Polisi 6. Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Leo tarehe 29 agosti 2023 Katika ofisi za makao makuu polisi post kamanda […]
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa basihaya ndugu Samson Andrew amekabidhi jezi kwa washiriki wa michuano ya adrew supa cup inayofanyika kata ya basihaya bunju jijini dar es salaam Akizungumza na waandishi wa habari wakati akigawa jezi hizo ndugu Samsoni amesema wanamtarajia mbunge wa kawe ndugu Josephat Gwajima kuwa mgeni rasmi kwenye fainali hizo ambazo […]
OFISI ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imeanza kufanya tathmini na mchakato wa mapitio ya Sera ya Maendeleo na Huduma kwa Watu Wenye Ulemavu ya mwaka 2004 ili kukidhi mahitaji ya sasa. Akifungua kikao cha wadau Agosti 24, 2023 jijini Dodoma cha kupitia taarifa ya awali ya mapitio hayo, Katibu Mkuu wa […]
Wakala wa barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umesema maeneo ya kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2023/24 ni Kuondoa vikwazo kwenye mtandao wa barabara za Wilaya ili angalau ziweze kupitika misimu yote. Hayo yamesemwa na mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff Agosti 24,2023 Jijini Dodoma wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa majukumu na mwelekeo […]
MKURUGENZI wa kampuni ya vifaa vya ujenzi ya SHEVA HARDWARE MaryStella Temba amewaasa wachimbaji wadogo kutumia vifaa vya usalama sehemu za migodi kwa kufanya hivyo watakuwa salama. Amesema kuwa wamekuwa kwenye biashara hiyo kwa muda mrefu na wamegundua kuwa iko haja ya wachimbaji wadogo kutumia vifaa bora haswa kutoka kwao kwasababubu vinaubora wa hali ya […]
Jumla ya Vijiji vipatavyo 11 kutoka Kata 4 Naipanga, Chiumbati, Rahaleo na Stesheni Wilayani Nachingwea Mkoani Lindi vinatarajia kunufaika na mradi wa huduma ya maji safi na salama wa Naipanga wenye jumla ya thamani ya sh.bil.1,187,057,785 Hayo yalibainishwa jana na Meneja wa Wakala wa Maji na usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA ) Wilayani hapo na […]
ZAIDI ya shilingi bilion kumi na moja zimetumika katika mwaka wa fedha 2021/2022 katika ujenzi wa barabara zinazoelekea katika maeneo migodi Wilayani Rwangwa mkoani Lindi. Akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya madini yanayoendelea katika wilaya ya Rwangwa ,Meneja Tarura Wilaya ya Rwangwa Mashaka Narubi amesema kuwa pia mwaka huo huo wa fedha 2021/2022 […]
JESHI la Zimamoto na Uokoaji limewataka wananchi kuwa na vifaa vya kuzimia moto wa awali ili kuokoa maisha ya watu pamoja na kuzuia uharibufu mkubwa wa mali zao hata kabla Jeshi hilo halijafika katika eneo la tukuo. Hayo yamesemwa na Stafu Sajenti Enock Mapunda kutoka Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mkoa wa Lindi wakati wa […]