FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 5, 2025
52 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ Serikali kuwezesha Sera, Sheria kwa wawekezaji wa Nishati Safi ya kupikia ๐Ÿ“Œ Ahamasisha matumizi ya Nishati ya Safi ya kupikia nchini ๐Ÿ“ŒAmpongeza Mkurugenzi Mtendaji TANESCO kwa kuunganisha watumiaji Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Wanawake kuwa mabalozi wa nishati safi ya kupikia, ili kuhakikisha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 4, 2025
69 views 8 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Asema Sera na Sheria zinazowekwa zinahimiza matumizi ya Nishati Safi* ๐Ÿ“Œ *Afungua Mkutano wa Awali EAPCE’25* ๐Ÿ“Œ *Ataka utumike kujadili na kuweka mipango itakayowezesha matumizi ya Nishati Safi* ๐Ÿ“Œ *Ataka mkazo kuwekwa kwenye Nishati Safi ya Kupikia kwani matumizi ya kuni na mkaa bado ni makubwa* Naibu Waziri Mkuu na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 4, 2025
62 views 3 mins

โ– Lengo ni kuimarisha uhifadhi nchini Na Happiness Shayo – Ngorongoro Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18  kutoka nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi nchini. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt.Pindi Chana (Mb) ameyasema hayo leo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 4, 2025
99 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM GSM Foundation na Hospital ya CCBRT leo wamesaini makubaliano ya ushirikiano ambapo GSM Foundation inaongoza kampeni ya kuchangisha kiasi cha milioni 588,734 ,880 za kitanzania kwaajili ya matibabu ya watoto 400 waliozaliwa na tatizo la miguu kifundo (clubfoot) ambapo wanapokea matibabu katika Hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 4, 2025
78 views 57 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Wizara ya Nishati yajivunia jitihada katika kulinda haki, usawa na kuwawezesha wanawake* ๐Ÿ“Œ *Kapinga asema lengo ni kuboresha ustawi wa mwanamke na kuongeza thamani yake.* Katika kuelekea maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025, yenye kaulimbiu “Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshajiโ€ Wizara ya Nishati […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 4, 2025
68 views 59 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA Kanda ya Magharibi leo Machi 3, 2025 imesherehekea Siku ya Wanyamapori Duniani kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii na uhifadhi, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za kulinda wanyamapori na mazingira. Katika maadhimisho hayo, Kanda hiyo ilitoa misaada ya vyakula kwa wanafunzi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 3, 2025
53 views 2 secs

Na Madina Mohammed DODOMA WAMACHINGA Katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali inatarajia kupandisha vyeo watumishiย  laki mbili kumi na tisa na arobaini na mbili (219042)na kubadilisha kada watumishi elfu sita Mia tisa na kumi (6910). Haya yameelezwaย  leo 3 march jijini Dodoma, waziri wa nchi ,ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora Georgeย  Simbachaweneย  katika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 3, 2025
57 views 19 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Asema Wizara ya Nishati inalo la kujivunia kutokana na uwepo wanawake katika nafasi za uongozi.* Mkuu wa Kitengo cha Mawasilianoย  Serikalini Wizara ya Nishati,ย  Neema Mbuja amesema kile ambacho wanawake walikipambaniaย  katika majukwaa mbalimbali ikiwemo ya Kimataifa ili kuwa naย  haki, usawa na uwezeshaji kwa wanawake matunda yake yanaonekana hivi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 3, 2025
84 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema ongezeko la idadi ya Wanyamapori katika hifadhi za Wanyama hapa nchini imetokana na juhudi za serikali kushirikisha wadau wa uhifadhi wa Wanyamapori na wananchi kwa ujumla hali iliyopelekea kukua kwa utalii na uchumi katika Taifa. Ameyasema hayo leo Machi 03, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...