FEATURE
on Jan 30, 2025
135 views 49 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkandarasi barabara ya Ilula Image-Ilambo atakiwa kurejea kazini mara moja Iringa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff, amesema serikali inaridhishwa na kazi zinayofanywa na wakandarasi wanaojenga barabara za Mtili – Ifwagi (Km. 14) na Wenda – Mgama (Km. 19) ambazo zinagharimu bilioni 52. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 30, 2025
168 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 Rais Samia atuma salamu za pole, agharamia misiba na mazishi 📌 Mkuu wa Wilaya Bukombe aishukuru Idara ya Afya kwa juhudi za maokozi 📌 Viongozi wa dini wahimiza uvumilivu na uhimilivu kipindi cha majonzi Leo Januari 30, 2025 mkoani Geita, maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kuaga miili ya wanafunzi saba wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 30, 2025
110 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌  Asema kuunganisha umeme maeneo ya Vijiji Mji ni shilingi 320.960/- 📌  Kapinga asema maeneo ya Kerwa umeme umeshafika Makao Makuu ya Vijiji Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko  amesema uunganishaji wa umeme kwenye maeneo ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 27, 2025
129 views 2 mins

Bodi ya Utalii Tanzania- TTB kwa kushirikiana na Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania unaowakilisha Uhispania sambamba wadau mbali wa Utalii kutoka sekta binafisi chini ya mwamvuli wa TLTO kwa pamoja wamefanikisha Ushiriki wa Nchini ya Tanzania katika onesho la 45 la FITUR jijini Madrid, hii ni kuanzia tarehe 22 hadi 26 January,2025. Katika onesho hilo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 27, 2025
118 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA – Asema mpaka sasa Marais wengi wamekwishafika – Kufuatia uwepo wa ugeni huu Mkubwa baadhi ya barabara zitafungwa na kufunguliwa ili kuepusha usumbufu kwa wageni – Asisitiza kuwa Serikali imeelekeza tarehe 27-28 Januari, 2025  Watumishi wa Umma Dsm kufanyia kazi Nyumbani – Agusia suala  la Usafi, Ulinzi na Usalama wa Mkoa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 27, 2025
100 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MSANII Maarufu wa Bongo “Movie” Nchini Irene Uwoya ameanzisha kampeni ya kumkomboa mwanamke kwenye Sekta ya Kilimoa inayojulikana kama “Jemba ni Mama”. Akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 26, 2025 Wakati akitangaza kampeni hiyo Uwoya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Mradi huo amesema asilimia 67 ya Wanawake ndiyo wanaojushughulisha na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 27, 2025
111 views 3 mins

Na Philomena Mbirika, Tanga Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imezindua Kampeni ya kuhamasisha utalii wa ndani katika mapango ya amboni Tanga kuelekea sikukuu ya wapendanao inayoadhimishwa  kila mwaka tarehe 14 Februari. Kampeni hiyo iliyozinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe. Japhari Kubecha leo tarehe 26/01/2025, inaenda kwa kauli mbiu isemayo “Diko […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 27, 2025
99 views 3 mins

▪️Awataka Wana-CCM kujiandaa na Uchaguzi Mkuu▪️Asema Wana-CCM wanaowajibu wa kueleza kwa watanzania utekelezaji wa Ilani WAZIRI MKUU, amewasisitiza Watanzania wote kushirikiana na Serikali kuweka mkazo kwenye matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kubadili utaratibu za kupika chakula ili kuachana na matumizi ya kuni na mkaa. “Mwenyekiti wetu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mheshimiwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 26, 2025
111 views 3 mins

📌 *Kituo mama cha CNG katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhudumia magari 1,200 kwa siku* 📌 *Serikali yaendelea kuhamasisha Sekta binafsi ujenzi wa vituo vya CNG* Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imepongezwa kwa ujenzi wa mradi wa Kituo mama cha gesi iliyoshindiliwa yaani Compressed Natural Gas (CNG)  na Vituo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 25, 2025
149 views 5 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...