FEATURE
on Nov 23, 2024
165 views 10 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Na Mwandishi wetu – Dar es Salaam. Waziri wa Mambo wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa,ย  wakutana na wadau wa mawasiliano yakiwemo makampuni ya simu kujadili kuhusu Makosa ya uhalifu wa mtandaoni mkutano huo umefanyika leo Novemba […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 22, 2024
140 views 56 secs

Na Mwandishi Wetu *T Ni katikaย  kuendeleza Sekta za Mafuta na Gesi* Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi wafikia asilimia 47* Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati,ย  Dkt. James Mataragio amesema nchi za Tanzania na Uganda zitaendelea kushirikiana katika uendelezaji wa miradi mbalimbali ya Nishati ikiwemo Sekta ya Mafuta na Gesi. Dkt. Mataragio ameyasema hayo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 22, 2024
187 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu – Rukwa. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na  Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kwela ametoa wito kwa Wananchi  kuendelea  kumuunga mkono Rais, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan  kwa kuwachagua  Viongozi wa Serikali za Mitaa wa Chama Cha Mapinduzi. Mhe.Sangu ametoa kauli hiyo leo kwa nyakati […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 22, 2024
125 views 36 secs

Na Mwandishi Wetu TABORA Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kiasi cha shilingi milioni 455.7 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya gesi ipatayo 22,785 mkoani Tabora ukiwa na lengo la kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini. Hayo yamebainishwa leo Novemba 22, 2024 na Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 22, 2024
171 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu Asema Vyama Vishindane kwa Sera na Utekelezaji wa Ahadi* WanaCCM Bukombe Waaswa Kuimarisha Ushirikiano* Azindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bukombe* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa kwa miaka yote wananchi wa Wilaya ya Bukombe […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 22, 2024
115 views 59 secs

Na Mwandishi Wetu Mitungi ya gesi zaidi ya 13,000 kusambazwa Songwe Kila wilaya kupatiwa mitungi ya gesi 3,255 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Oryx Gas Tanzania Limited ambaye atahudumia wilaya zilizopo ndani ya Mkoa wa Songwe kwa kuuza kwa bei ya ruzuku mitungi ya gesi ya kilo sita […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 22, 2024
105 views 46 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA RUKWA Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhe. Makongoro Nyerere amewataka Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhamasisha na kuchochea ajenda ya nishati safi ya kupikia nchini. Hayo yamebainishwa leo Novemba 21, 2024 na Mhe. Nyerere mara baada ya uwasilishwaji wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 22, 2024
157 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ARUSHA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amejizolea umaarufu huku akipongezwa na Taasisi ya haki za binadamu Duniani kwa kuwapa faraja wananchi wa Ngorongoro. โ€œtunapenda kutumia fursa hii kumshukuru na kumpongeza Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa hatua nzuri aliyoichukua ya kutuma wajumbe wake wakati wananchi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 21, 2024
152 views 3 mins

Na mwandishi wetu.. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema CCM inaingia kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa kikiwa na imani kubwa ya Watanzania kutokana na uimara wa chama na uongozi wa Mwenyekiti wake, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Amesema kuwa uimara wa CCM unatokana na wingi na umakini […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 21, 2024
193 views 45 secs

Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haitasita kubomoa majengo yote ya Kariakoo, iwapo tume iliyoundwa kuchunguza usalama huo takuja na mapendekezo hayo. Sambamba na hilo Mkuu wa nchi amewataka watendaji wa Serikali kuwajibika kwa nafsi zao katika utoaji wa vibali vya ujenzi akitaka visimamiwe ipasavyo. Rais Saia aliyasema hayo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...