FEATURE
on Nov 21, 2024
123 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema CCM Inaweza Kazi, Ipewe Kura* Rais Samia Ang’ara Miradi ya Maendeleo* Wabunge Waeleza Mafanikio ya CCM Mara* Wananyamongo Waahidi Ushindi CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa* Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 21, 2024
128 views 3 mins

Na Lusungu Helela -Rukwa Naibu  Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma  na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu ameupongeza Mkoa wa Rukwa kwa usimamizi bora wa fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kupitia utekelezaji wa Mpango wa Kuzinusuru Kaya Maskini nchini kwa kufuatilia kwa ukaribu utekelezaji wa miradi inayowanufaisha walengwa wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 20, 2024
156 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika_ _Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo_ _Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani_ _Awataka washindi kuwatumikia Watanzania kwa kupinga dhuluma na rushwa_ Katibu Mkuu wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 20, 2024
125 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa_  Katibu Mkuu Balozi Nchimbi kuongoza kampeni za uchaguzi Serikali za Mitaa leo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, anatarajiwa kuzindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa za CCM Mkoa wa Mwanza tarehe 20 Novemba […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 19, 2024
124 views 48 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kila wilaya kusambaziwa mitungi ya gesi 3,255 Elimu ya nishati safi kuendelea kutolewa 📍Njombe Mkoa wa Njombe umeahidi kushirikiana na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia13,020 ili wananchi watumie nishati safi na salama. Hayo yamezungumzwa leo Novemba 19, 2024 na Kaimu Katibu Tawala,  Mha. Joseph […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 19, 2024
129 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA REA yahamasisha ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba ameunga mkono juhudi za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) za kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia ipatayo 9,800 mkoani humo itakayoendelea kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia. Mhe. Serukamba […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 19, 2024
103 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali  itaendelea kuiunga mkono sekta ya madini lengo likiwa ni kuona sekta hiyo inakuwa kwa kasi na tija kwa uchumi wa nchi. Majaliwa ameyasema hayo leo  jijini Dar es salaam wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan  kwenye Mkutano wa sita wa Kimataifa wa Madini ulioanza leo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 19, 2024
132 views 17 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Wananchi wa Tarafa ya  Ngorongoro Mkoani Arusha wameonyesha kuwa na matumaini na Serikali kufuatia urejeshwaji wa huduma za kijamii ambazo zilikosekana kwa mda mrefu. Hayo yamebainishwa leo Nov 18, 2024 na Mratibu wa mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) wakili Onesmo Olengurumwa ambapo amesema kwasasa Wananchi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 18, 2024
162 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa karibu na wanahabari. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika mkutano wa wadau wa sekta ya habari kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2025, Waziri […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 18, 2024
126 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Jumla ya watu 84 wameokolewa na kufikishwa hospital Kwa ajili ya kupatiwa matibabu na kati ya hao majeruhi 26 bado wanaendelea na matibabu na  watu 13 wamepoteza maisha Katika tukio hilo. Amesema serikali itabeba Gharama za matibabu Kwa wote waliojeruhiwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...