FEATURE
on Nov 8, 2024
192 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni wakati akitoa mchango Bungeni kuhusu Mpango wa Taifa wa Maendeleo* Ataja kuongezeka kwa kiasi cha umeme katika Gridi ya Taifa* Aeleza usambazaji umeme vijijini ulivyofanyika kwa mafanikio; Vijiji 78 Tu vyasalia* Aeleza jitihada zilizofanyika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia; Utoaji wa Leseni na Duru ya Tano ya kunadi vitalu* […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 8, 2024
120 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Arusha Ijumaa 8 Novemba 2024 , Tanzania imefanya mkutano muhimu wa Afya Moja jijini Arusha, ukiwaleta pamoja maafisa wa serikali, washirika wa kimataifa, mashirika ya kiraia, na wataalam ili kuendeleza mbinu ya Afya Moja kama mkakati muhimu kwa usalama wa afya duniani na maendeleo endelevu ya binadamu. Tukio hilo la hadhi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 8, 2024
192 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM WAZIRI Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela, amesema ziara za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeleta manufaa makubwa ikiwemo kuiweka Tanzania katika sura nzuri kimataifa na kuimarisha ushirikiano. Amesema katika kipindi hiki cha uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia, maendeleo ya kasi yameshuhudhiwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 7, 2024
162 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitatumia 4R za Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kampeni za kistaarabu na kuheshimiana katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Amesisitiza kuwa viongozi na wanachama wa CCM watakaopata fursa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 7, 2024
147 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kunufaisha kaya 2,970 kutoka kwenye vitongoji 90 ndaniya wilaya tatu, RC Macha asema umeme ni kipaumbele cha Rais Samia -SHINYANGA SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa Shilingi bilioni 11.18 wa kusambaza umeme katika vitongoji 90 utakaonufaisha kaya 2,970 mkoani Shinyanga. Hayo yalisemwa jana na Msimamizi wa Miradi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 7, 2024
141 views 2 mins

Na Catherine Sungura KIGOMA WAMACHINGA Bajeti ya dharura nayo yaongezezeka Ndani ya kipindi cha miaka mitatu ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bajeti ya uboreshaji wa miundombinu ya barabara za TARURA imeongezeka kutoka Shilingi Bilioni 275 hadi Shilingi Bilioni  710. Hayo yameelezwa  mwishoni […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 6, 2024
135 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kapinga atajaย  msamaha wa kodi asilimia 25 kwa injini za magari yanayotumia gesi asilia iliyotolewa 2023/2024 Aeleza Serikali ilivyojidhatiti kupeleka umeme kwenye maeneo yote nchini* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kupitia Bajeti Kuu Serikali ya mwaka 2023/24 Serikali ilitoa msamaha wa kodi ya ushuru wa forodha (customs duty) […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 6, 2024
155 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGAt ooh Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam inatekeleza mradi wa matengenezo (maintenance) ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya kwanza chini ya mradi wa OPBRC (Output and Performance-Based Road Contract) uliosainiwa rasmi tarehe 07 Septemba 2018. Mradi huu ni wa muda mrefu (Long term contract) […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 5, 2024
118 views 56 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Imeelezwa kuwa, miradi ya ufungaji wa mifumo ya umeme jua ipatayo 20,000 ipo mbioni kuanza katika maeneo ya visiwani na makazi yaliyo vijijini ambayo hayajafikiwa na Gridi ya Taifa. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala waย  Nishati Vijijini (REA), Mha. Hassan Saidy wakati wa kikao cha Menejimenti ya Wizara ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 5, 2024
160 views 3 mins

Na Happiness Shayo- Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Makamanda wa Kanda na Wahifadhi Wakuu wa Mashamba na Wilaya wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kutumia Mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili  kuboresha utendaji kazi na kuchagiza  utawala bora. Ameyasema hayo katika mkutano wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...