FEATURE
on Sep 27, 2024
269 views 2 mins

Na Veronica Simba WMA DODOMA Imeelezwa kuwa ujenzi unaoendelea wa Ofisi Kuu ya Wakala wa Vipimo (WMA) unatarajiwa kukamilika Januari 2025. Mwakilishi wa Mtendaji Mkuu wa WMA, Karim Zuberi amemweleza hayo Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Kaspar Mmuya aliyefanya ziara kujionea maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo eneo la Medeli jijini Dodoma, Septemba 27, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 26, 2024
170 views 34 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Atahadharisha kemikali zilizopo kwenye baadhi ya miti* Vyuo vya Maendeleo ya Jamii vyaanza kupika kisasaย  kwa kutumia Nishati Safi* Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa rai kwa Watanzania kupika kisasa kwa kutumia nishati safi ya kupikia ili kuepukana na magonjwa yanayosababishwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 26, 2024
365 views 7 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan, amevunja ukimya na kurusha kombora kwa vyama vya upinzani nchini. Kutokana na hali hiyo amesema kuwa viongozi wa vyama hivyo sasa wamekosa pa kupenyea na badala yake wanaibuka na hoja za kutaka kuvuruga Taifa. Akizungumza na wananchi jana Wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Rais Dkt. Samia, alisema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 26, 2024
250 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema sio wakati wa kutoa visingizio Wasiotuma washiriki watakiwa kujieleza SHIMIWI yalia na kushuka idadi ya vilabu vinavyoshiriki Wizara, Taasisi, Mashirika, wakalaย  za Serikali zimetakiwa kutenga Bajeti ya kutosha kwa ajili ya kushiriki Michezo ya SHIMIWI ili kukidhi malengo na misingi ya kuanzishwa kwa kwa michezo hiyo na kuleta tija. Agizo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 26, 2024
240 views 15 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni Umeme, Maji, Barabara, Elimu na Afya* Mbinga kupata kituo cha umeme cha sh. Bilioni 3* Shilingi Bilioni 83 yapeleka umeme Vijijini Jimbo la Nyasa* Wananchi wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma kupitia kwa Naibu Waziri Nishati na Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Judith Kapinga wamemshukuru Rais, Mhe. Dkt. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 24, 2024
342 views 55 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waheshimiwa wakuu wa wilaya ya Ubungo na kisarawe sambamba na Kamati za Usalama (W) Maafisa Aridhi, Wakurugenzi, Makatibu Tawala na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi pamoja na wenyeviti wa serikali za mitaa na watendaji wa Mitaa na Kata wamekutana na Kutafsiri GN inayoeleza maeneo ya mipaka na kiutawala kwa wilaya za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 24, 2024
206 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ampongeza Dkt.Biteko kutoa muongozo matumizi endelevu ya maji* Asema JNHPP ni kielelezo cha matumizi bora ya maji* Asisitiza Taasisi za Serikali kuendelea kusimamia matumizi bora maji* Imeelezwa kuwa, Mkakati wa ushirikiano uliowekwa na Wizara zinazohusika na Sekta ya Maji ili kutoa elimu ya kulinda vyanzo vya maji pamoja na kushirikiana na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 24, 2024
229 views 19 secs

Tanzania itakuwa mwenyeji wa onyesho kubwa la Swahili International Tourism Expo (SITE 2024) kuanzia tarehe 11 hadi 13 Oktoba 2024, litakalofanyika Mlimani City, Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii, Efrahimu Mafuru, amesema onyesho hili litashirikisha nchi zaidi ya 33 na lengo kuu ni kuimarisha mtandao wa wafanyabiashara wa sekta ya utalii. Kaulimbiu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 24, 2024
231 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KUTOKA MAHAKAMANI MAHAKAMA ya Wilaya ya Kinondoni imempandisha kizimani mkazi wa Mabwe pande, Shembiu Shekilaghe(38) akikabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za uongo na kujiwasilisha kama yeye ni Jakaya Mrisho Kikwete huku akijua sio kweli. Wakili wa Serikali, Salma Jafari alidai hayo hapo jana tarehe 23 Septemba, 2024 alipokuwa akimsomea mshtakiwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 24, 2024
247 views 3 mins

Mwandishi Wetu WAMACHINGA KUTOKA MAHAKAMANI WATU  watano wamepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakikabiliwa na mashtaka 23 likiwemo la kuongoza genge la uhalifu na wizi wa fedha kiasi cha Sh 3,600,000. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Wangina Chacha(21), Erick Mushi(28), Shabani Msuya(36), Baraka Lunanja (32) na Kassim Dyamwale(34). Wakili wa Serikali, Nitike Mwaisaka alidai […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...