FEATURE
on Apr 8, 2025
51 views 2 mins

HAFLA ya utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kwa mwaka 2025 inatarajiwa kufanyika Aprili 13 katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam. Hayo yamebainishwa leo Aprili 7, 2025 na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 8, 2025
52 views 24 secs

1. Kupitia nyakati ngumu yaweza kuwa sehemu ya kawaida ya maisha yetu ya kila siku 2. Nyakati ngumu zinaweza kuwa ngumu zaidi kiasi kwamba zikakufanya kulemewa 3. Kulemewa na jambo ni kuwa katika mazingira ambayo mambo yamekuwa magumu, yamefika shingoni, mwanga ulotazamia uone basi ni mwanga hafifu kiasi cha kupoteza nuru 4. Nyakati za kulemewa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 6, 2025
45 views 32 secs

_Kuanza kupokea Wanafunzi 160 wa kidato cha 5 Julai, ina madarasa 12 ya kisasa, mabweni mawili, nyumba ya Walimu 2 in 1 n.k._ Kata ya Kaitoro kwenye Tarafa ya Katerero ilikua na Sekondari moja lakini kutokana na uwingi mkubwa wa wanafunzi, mwaka juzi 2023 Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ikaamua kujenga shule nyingine hii […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 5, 2025
51 views 3 mins

ย ๐Ÿ“ŒAsema ni ndoto ya watanzania,awataka wategemee umeme wa uhakikaย ๐Ÿ“ŒAsisitiza kazi iliyobaki ni kuimarisha miundombinu ya kuwafikishia wananchi umemeย ๐Ÿ“ŒRais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Misri kuuzindua rasmiย Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kutegemea kupata umeme wa uhakika baada ya Mradi wa kufua umeme kutoka Bwawa la Julius […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 5, 2025
47 views 41 secs

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameahidi kuwa Serikali ya mkoa wa Dodoma itaendelea kushirikiana na Makao makuu ya Mahakama ya Tanzania yaliyopo Dodoma katika kuhakikisha kuwa dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan inatimia katika kuhakikisha wananchi wa Tanzania wanapata haki zao. Mhe. Senyamule amebainisha hayo leo Aprili 05, 2025 wakati Rais Samia […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 5, 2025
48 views 4 mins

Katika kile kinachoweza kufasiriwa kama dalili za kuporomoka kwa umoja na mshikamano ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waraka mzito wa ushauri umetolewa na wagombea wa ubunge wa mwaka 2020 na watia nia wa mwaka 2025, wakimlenga moja kwa moja Katibu Mkuu wa CHADEMA huku wakionyesha tofauti kubwa ya kifikra na kimkakati na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 4, 2025
39 views 2 mins

Na Madina Mohammed WAMACHINGA Ni muendelezo wa utoaji elimu kwa waingizaji na wasambazaji wa  dawa , vifaa tiba na vitenganishi  kutoka Wilaya ya Ilemela na Nyamagana Mkoani Mwanza ,Elimu hii inatolewa na mamlaka ya dawa na vifaa tiba TMDA Kanda ya Ziwa Mashariki. Mamlaka ya dawa na vifaa Tiba TMDA Kanda ya ziwa mashariki imewatahadharisha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 4, 2025
43 views 24 secs

Na Mwandishi wetu, Morogoro. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima amewakaribisha maafisa Habari,Uhusiano na Mawasiliano wa serikali wanaotarajia kukutana kwenye mkutano waoย  wa mwaka utakofanyika mkoani Morogoro kuanzia tarehe 8-12 Aprili, 2025. Mhe. Malima ameyasema hao leo tarehe 3 Aprili, 2025 wakati wa kikao cha pamoja na baadhi ya viongozi wa Chama cha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 4, 2025
39 views 2 mins

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), leo, Aprili 3, 2025, limesaini mkataba na na kampuni ya Kituruki, M/s Mercan Tekne Deniz Araclari Ltd (Mercan Yachting), kwa lengo la kununua boti mbili (2) za utafutaji na uokoaji (Search and Rescue – SAR) ili kuboresha usalama wa usafiri majini katika mwambao wa bahari na maziwa makuu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 3, 2025
33 views 2 mins

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baraza la Taifa la Ujenzi zimeingia makubaliano kwa ajili ya ushirikiano wa kitaalamu katika Sekta ya Ujenzi. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini, Dar es Salaam tarehe 03 Aprili, 2025  Mwanasheria Mkuu wa Serikali,  Mhe. Hamza S. Johari amesema kuwa wameingia makubaliano hayo kwa sababu taasisi hizo zinashabihiana […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...