FEATURE
on Jun 8, 2024
236 views 2 mins

Na Happiness Shayo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hasan imeendelea kuweka mazingira bora kwa wafanyabiashara na wawekezaji Sekta ya Utalii ili kuwarahisishia ufanyaji biashara na kuendelea kuikuza Sekta hiyo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angelllah Kairuki mara baada […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 8, 2024
304 views 20 secs

Na mwandishi wetu WAMACHINGA Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji (Rufaa), Jacobs Mwambegele akikabidhi nakala ya orodha ya vituo vyote vya kuandikisha wapiga kura kwa viongozi na wawakilishi wa Vyama 19 vyenye usajili kamili wakati Vyama hivyo vilipokutana katika mkutano wa Tume na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika jijini […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 7, 2024
272 views 4 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Wapiga kura 11,936 wanatarajiwa kupiga kura kesho tarehe 09 Juni, 2024 kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kwahani lililopo Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele ameyasema hayo leo tarehe 07 Juni, 2024 jijini Dar […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 7, 2024
249 views 27 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kujenga laini mpya ya Umeme kutoka Nyakanazi-Ushirombo  na Kahama Bongwe hadi Bukombe ili kuhakikisha hali ya upatikanaji wa umeme katika  Wilaya ya Bukombe inaimarika. Dkt, Biteko ametoa agizo hilo wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 7, 2024
306 views 56 secs

Na Beatus Maganja TANGA Yanyakua tuzo na kujikusanyia vyeti kadhaa vya pongezi* Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imepokea tuzo ya mshindi wa pili wa jumla kwenye maonesho ya  11 ya utalii na biashara almaarufu “TANGA TRADE FAIR” yaliyokuwa yakifanyika katika viwanja vya shule ya sekondari usagara Mkoani Tanga  kuanzia Mei 28, 2024 […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 6, 2024
405 views 3 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 6, 2024
265 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA -Amshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa katika nyanja za elimu hapa nchini -Awataka wanafunzi kutokata tamaa, wanayo nafasi kubwa ya kubadili maisha yao. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 6,2024 amefanya ziara katika chuo Kikuu kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 6, 2024
245 views 7 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Amesema Wizara yake imepokea maelekezo ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi dkt Emanuell Nchimbi kuhusu suala la boom kwa wanafunzi wa vyuo nchini. Dr Nchimbi akiwa eneo la Usa River Wilaya ya Arumeru alitoa maagizo kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuhakikisha wanafunzi wa vyuo wanalipwa fedha hizo ifikapo mwisho […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 2, 2024
325 views 42 secs

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akizindua Shina la Wakereketwa Wajasiriamali wa Tarime Group, lenye wanachama 200, eneo la Makuyuni, Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha. Balozi Nchimbi amewasili na kupokelewa Arusha leo Jumapili, Juni 2, 2024, tayari kuanza ziara ya siku tatu mkoani humo, ikiwa ni mwendelezo wa ziara […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 1, 2024
234 views 2 mins

Na Happiness Shayo Wawakilishi 11 wa Bunge la Wawakilishi-Congress kutoka nchini Marekani wameridhishwa na juhudi za uhifadhi zinazofanywa na  Serikali ya Tanzania huku wakisifia namna ambavyo hifadhi za Taifa zimesheheni wanyamapori. Hayo yamesemwa katika kikao kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Wabunge hao kilichofanyika katika Uwanja wa Ndege wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...