Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 104)
FEATURE
on Jun 27, 2024
264 views 35 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Wajadili  Mradi wa  Maboresho Sekta ya Nishati  _(Energy Sector Reform  Programme) Serikali yaeleza ilivyotimiza masharti ya EU ili kupata fedha za Maboresho ya Sekta ya Nishati Dar es salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi  Mramba leo 26 Juni, 2024,  amekutana na kufanya mazungumzo na  Ujumbe kutoka  Umoja wa […]

FEATURE
on Jun 26, 2024
241 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Asema Ofisi ya CAG na Wakurugenzi wasikimbiane -Asisitiza umuhimu wa kuwa mahiri katika kuzuia hoja na sio kujibu hoja -Apongeza Manispaa ya Ubungo na Kinondoni kwa kupata Hati safi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 26,2024 akiwa katika muendelezo wa kushiriki mabaraza […]

FEATURE
on Jun 26, 2024
294 views 25 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ARUSHA Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda, amebainisha kuwa tangu kuanzia kwa kambi ya madaktari bingwa na wabobezi mkoani humo siku ya tarehe 24 Juni, 2024 na hadi kufikia jana tarehe 25 Juni, 2024 tayari jumla ya watu 6434 wamehudumiwa vema na kupatiwa na kusema kulingana na takwimu za […]

FEATURE
on Jun 26, 2024
318 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Ni kuhusu miradi inayotekelezwa na wizara kupitia TPDC DKt  Biteko afungua rasmi, aishukuru PAC kwa mchango wao sekta ya Nishati Waitaka TPDC kuwekeza kwa kutumia fedha za ndani na sio kutegemea wafadhili pekee    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza kamati ya […]

FEATURE
on Jun 26, 2024
194 views 2 mins

Rais William Ruto amesema hatotia saini Mswada wa Fedha wa 2024 kuwa sheria . Katika kikao na waandishi wa habari siku moja baada ya maandamano makubwa kushuhudiwa nchini kupinga mswada huo ,Ruto pia ametangaza hatua mbalimbali za kupunguza mgao wa fedha za matumizi katika Ofisi ya Rais na idara nyingine za serikali ikiwemo bunge . […]

FEATURE
on Jun 26, 2024
288 views 2 mins

Na Happiness Shayo DODOMA Tanzania imeweka rekodi kubwa ya Kimataifa kwa miezi  ya Januari hadi Machi 2024 kwa  kushika nafasi ya 5 kwa nchi ambayo imeweza kuvutia watalii zaidi duniani na nafasi ya kwanza Barani Afrika kwa kuvutia watalii kimataifa, kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism). Hayo yamesemwa na Waziri […]

FEATURE
on Jun 26, 2024
276 views 26 secs

Marekani, Uingereza na mataifa mengine yamelaani kutekwa nyara na kuuawa kwa waandamanaji nchini Kenya wakati wa maandamano yanayoendelea ya kupinga Muswada wa Sheria ya Fedha ambayo yamekuwa yakifanyika kote nchini. Katika taarifa ya pamoja, Mabalozi na Makamishna Wakuu kutoka nchi 13 walielezea wasiwasi wao juu ya ghasia zinazoshuhudiwa kote nchini na kusababisha vifo. “Tunasikitishwa sana […]

FEATURE
on Jun 26, 2024
362 views 23 secs

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na Ufaransa Thierry Henry ni miongoni mwa majina yanayotajwa kuchukua nafasi ya Rob Page kama meneja wa Wales. Henry, ambaye amewahi kuinoa Monaco na Montreal Impact, anasimamia kikosi cha Ufaransa chini ya umri wa miaka 21 na anajiandaa kuiongoza timu ya Olimpiki ya nchi yake kwenye Michezo huko Paris mwezi […]

FEATURE
on Jun 26, 2024
248 views 6 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA KENYA Baada ya siku ya maandamano, ghasia na umwagaji damu, Rais wa Kenya William Ruto alihutubia taifa kwa ujumbe wa huzuni na wenye nguvu. Akisema maandamano “halali” dhidi ya sera zake “yametekwa nyara na kundi la wahalifu waliopangwa,” alionya serikali yake itatumia njia zote ili kuzuia kujirudia kwa ghasia hizo, “kwa […]