Na Mwandishi wetu WAMACHINGA KENYA Baada ya siku ya maandamano, ghasia na umwagaji damu, Rais wa Kenya William Ruto alihutubia taifa kwa ujumbe wa huzuni na wenye nguvu. Akisema maandamano “halali” dhidi ya sera zake “yametekwa nyara na kundi la wahalifu waliopangwa,” alionya serikali yake itatumia njia zote ili kuzuia kujirudia kwa ghasia hizo, “kwa […]
-RC chalamila apongeza kitengo cha mawasiliano Serikalini kwa kupatiwa tuzo ya ushindi -Atoa maelekezo mahususi kuboresha utendaji kazi wa kitengo hicho Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 25,2024 amekabidhi tuzo na cheti cha ushindi kwa kitengo cha mawasiliano serikalini kupitia katibu Tawala wa Mkoa huo Dkt Toba Nguvila tuzo […]
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeelezea Mipango yake ikiwemo kuendelea kuwawezesha Wachimbaji Wadogo wa Madini nchini, huku msisitizo ukiwekwa kwenye ununuzi wa mitambo na huduma za uchorongaji ili kuwasaidia kupata taarifa za miamba, hatimaye wachimbe kwa tija. Hayo yalielezwaย Juni 24, 2024 na Meneja Uwezeshaji Uchimbaji Mdogo kutoka STAMICO Bw. Tuna Bandoma kwenye Wiki […]
Asisitiza Serikali itaendelea kushirikiana na wawekezaji Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa Modern Industrial Park wanaomiliki kongani ya viwanda eneo la Kibaha, Mkoani Pwani. Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 24 Juni, 2024 katika ofisi za Naibu Waziri Mkuu Bungeni, jijini Dodoma. Aidha, Dkt. […]
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa (Mb) amezindua rasmi Ripoti za Kidemografia, Kijamii, Kiuchumi na Mazingira zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi na Sensa ya Majengo ya Mwaka 2022. Amezindua ripoti hizo leo Juni 22, 2024 katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ametoa wito kwa nchi wanachama wa Mkakati wa Kuongoa Ardhi na Misitu iliyoharibiwa takribani Hekta milioni 100 Barani Afrika (African Forest Restoration Initiatives – AFR100), kuweka mifumo ya ufuatiliaji na tathmini ya kielektroniki kuhakikishaย lengo la kuongoa misitu hiyo linafikiwa kwa kuona […]
Na MWANDISHI WETU WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Aitaka Jamii kuacha kushabikia vitendo vinavyodharirisha utu wa binadamu -Asema mtoto anasitahili kulindwa na kupatiwa haki yake -Atoa rai kwa jamii kuacha tabia za kibaguzi kwa watoto wenye ulemavu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 20,2024 ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Mtoto […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Ataja umuhimu wa kampeni hii kwa wananchi wa Dsm -Asema Madaktari Bingwa na Wabobezi katika taalum mbalimbali ni sehemu ya kampeni hiyo na ataja huduma zitakazotolewa -Aainisha Ratiba ya Upimaji Afya katika ngazi za Wilaya zote -Awashukuru wadau wote waliowezesha kampeni hiyo -Kwa upande wake Dr. Mohamedi Mang’una […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA *๐ Upatikanaji Nishati Safi ya Kupikia kufika hadi ngazi ya Kaya* *๐Asisitiza kuisukuma ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia* *๐Asilimiaย 80 ya Watanzaniaย kutumia Nishati Safi ifikapo 2034* *๐Serikali kuendelea kushirikiana na UNCDF NA EU* Imeelezwa kuwa, Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) na Washirika wengine wa Maendeleo wamekuwa msaada mkubwa […]