Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 110)
FEATURE
on Jun 6, 2024
407 views 3 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA

FEATURE
on Jun 6, 2024
265 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA -Amshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa katika nyanja za elimu hapa nchini -Awataka wanafunzi kutokata tamaa, wanayo nafasi kubwa ya kubadili maisha yao. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 6,2024 amefanya ziara katika chuo Kikuu kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) […]

FEATURE
on Jun 6, 2024
245 views 7 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Amesema Wizara yake imepokea maelekezo ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi dkt Emanuell Nchimbi kuhusu suala la boom kwa wanafunzi wa vyuo nchini. Dr Nchimbi akiwa eneo la Usa River Wilaya ya Arumeru alitoa maagizo kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuhakikisha wanafunzi wa vyuo wanalipwa fedha hizo ifikapo mwisho […]

FEATURE
on Jun 2, 2024
325 views 42 secs

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akizindua Shina la Wakereketwa Wajasiriamali wa Tarime Group, lenye wanachama 200, eneo la Makuyuni, Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha. Balozi Nchimbi amewasili na kupokelewa Arusha leo Jumapili, Juni 2, 2024, tayari kuanza ziara ya siku tatu mkoani humo, ikiwa ni mwendelezo wa ziara […]

FEATURE
on Jun 1, 2024
236 views 2 mins

Na Happiness Shayo Wawakilishi 11 wa Bunge la Wawakilishi-Congress kutoka nchini Marekani wameridhishwa na juhudi za uhifadhi zinazofanywa na  Serikali ya Tanzania huku wakisifia namna ambavyo hifadhi za Taifa zimesheheni wanyamapori. Hayo yamesemwa katika kikao kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Wabunge hao kilichofanyika katika Uwanja wa Ndege wa […]

FEATURE
on May 31, 2024
195 views 5 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA 📌 *Kuimarisha upatikanaji umeme Kilombero, Ulanga na Malinyi* 📌 *Kuchochea viwanda vya uongezaji thamani Mazao, Madini* 📌 *Asema Serikali inachukulia kwa uzito mkubwa suala la upatikanaji wa Nishati* 📌 *Asisitiza Umeme si anasa, ni jambo la lazima* 📌 *Aishukuru EU kuunga mkono miradi ya Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa […]

FEATURE
on May 31, 2024
206 views 2 mins

Na Beatus Maganja BUNGENI DODOMA Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Jasmin Kairuki (Mb) amesema katika kuongeza mapato yatokanayo na shughuli za utalii, Wizara yake imefanikiwa kuanza utekelezaji wa Uwekezaji Mahiri kwenye Maeneo ya Wanyamapori (Special Wildlife Investment Concession Areas – SWICA) ambapo jumla ya Dola za Marekani 2,773,000 sawa na Shillingi bilioni 7.1 […]

FEATURE
on May 31, 2024
598 views 4 mins

Na Madina Mohammed WAMACHINGA Wizara ya Maliasili na Utalii imeomba kuidhinishiwa Bajeti ya jumla ya Shilingi Bilioni 348,125,419,000 (bilioni mia tatu arobaini na nane milioni mia moja ishirini na tano laki nne na elfu kumi na tisa) kwa matumizi ya Mwaka wa Fedha 2024/2025. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema hayo […]

FEATURE
on May 30, 2024
447 views 3 mins

Na Madina Mohammed WAMACHINGA Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ubunifu  wa kuandaa Maonesho maalumu ya kutangaza vivutio vya utalii yenye lengo la kuelimisha wabunge kuhusu masuala ya uhifadhi wa maliasili na uendelezaji utalii yanayofanyika katika viwanja vya Bunge kuanzia leo Mei 30,2024. Akizungumza katika […]

FEATURE
on May 30, 2024
569 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA MKUU wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila Amesema Jiji la Ilala pamoja na Halmashauri za Manispaa ya mkoa wa Dar es salaam Ni marufuku Kuendelea Kujenga ujenzi wa kutawanyika Kwa sababu ya Ardhi yake haipo kama ya mikoa mingine  Hayo ameyasema Leo Tarehe 30 Mei 2024 […]