Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 111)
FEATURE
on May 30, 2024
258 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila Akiendelea na ziara yake ya siku tatu na Leo ikiwa ni siku ya kuhitimisha ziara yake Katika Wilaya ya Ilala na kuendelea kusikiliza kero za wananchi. MKUU wa mkoa Amekitembelea kiwanda cha nondo kiitwacho Metro Steel kilichopo katika Halmashauri […]

FEATURE
on May 30, 2024
227 views 3 mins

Na Mwandishi wetu KIGOMA Wapiga kura wapya 224,355 wanatarajiwa kuandikishwa mkoani Kigoma wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika mkoani humo kwa siku saba kuanzia tarehe 01 hadi 07 Julai, 2024. Uboreshaji huo wa Daftari utatanguliwa na uzinduzi wa zoezi hilo utakaofanyika tarehe 01 Julai, 2024 mkoani Kigoma ambapo mgeni […]

FEATURE
on May 29, 2024
264 views 9 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Wakazi wa Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wameishukuru na kuipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kukamilika na kuanza kutumika kwa kituo cha Kupoza umeme cha Ifakara. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi hao wamesema kuwa, zamani walikuwa na […]

FEATURE
on May 29, 2024
451 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Msanii wa Filamu Nchini, Steven Mengere ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu kwa kutambua Tasnia ya Filamu na kuja na ahadi ya kuwapeleka wasanii na waigizaji nchi za nje kwa ajili ya kujifunza Sanaa katika nyanja mbalimbali. Akizungumza katika Mkutano uliofanyika […]

FEATURE
on May 29, 2024
245 views 5 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi  itakayofanyika Jamhuri ya Korea tarehe 30 Mei hadi tarehe 06 Juni 2024. Katika ziara hiyo,  Rais Samia anatarajia kufanya mambo makuu mawili ambapo Tarehe 2 Juni 2024 atakutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake […]

FEATURE
on May 29, 2024
212 views 3 mins

Na Madina Mohammed WAMACHINGA Jitahidi za Serikali za kutatua migogoro ya matumizi ya ardhi baina ya Hifadhi na wananchi zinaendelea kuzaa matunda baada ya kutatua mgogoro uliodumu zaidi ya miaka 20 baina ya Pori la Akiba Liparamba lililopo Mkoani Ruvuma na vijiji vitano vinavyozunguka hifadhi hiyo. Hayo yamebainika Mei 28, 2024 katika ziara ya kuelezea […]

FEATURE
on May 29, 2024
395 views 5 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkuu wa mkoa  wa  mkuu wa Dar es salaam ALBERT CHALAMILA  amemtaka  kufanyika kwa tathmini ya zaidi ya shilingi billion 5 Ambazo zimetolewa katika  ujenzi wa kutoa cha afya. Cha  mchikichini kilichopo ILALA kutokana  na kutoridhishwa ujenzi wa miradi huo Agizo hilo Amelitoa  katika  ziara maalumu ya kukagua […]

FEATURE
on May 29, 2024
215 views 45 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ALBERT CHALAMILA ameziagiza mamlaka za Usimamizi wa maji safi DAWASA, DART pamoja na TARURA  kuboresha miundombinu ya maji taka pamoja na ujenzi ujenzi wa barabara katika mtaa wa lindi kata ya gerezani wilaya ilala jijini Dar es salaam Ameyasema hayo Leo […]

FEATURE
on May 29, 2024
261 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila Atoa agizo kwa wale ambao walionganisha mfumo wa Maji taka kwenye mifumo ya maji safi PSSSF na Balozi wa Canada wakabomoe wenyewe ndani ya wiki Moja Ameyasema hayo Leo Tarehe 29 Mei 2024 Mkuu wa mkoa wa Dar es […]

FEATURE
on May 29, 2024
410 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imewaomba waandishi wa habari za Mtandaoni (digital online) kuhamasisha wananchi kuwa na desturi ya kudai risiti pale wanapofanya manunuzi ili kusaidia kuwapata wafanyabiashara wanaokwepa kulipa kodi. Rai hiyo ameitoa leo Jijini Dae es salaam Mei 29,2024 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mapato TRA Elimu […]