Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 22)
FEATURE
on Mar 4, 2025
62 views 3 mins

■Lengo ni kuimarisha uhifadhi nchini Na Happiness Shayo – Ngorongoro Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18  kutoka nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi nchini. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt.Pindi Chana (Mb) ameyasema hayo leo […]

FEATURE
on Mar 4, 2025
71 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA •  _*Mradi wa Epanko Graphite Kuinufaisha Tanzania Kibiashara, Kiuchumi*_ •  _*Kuchangia Zaidi ya Shilingi Trilioni 5 kwenye Pato la Taifa*_ •  _*Tanzania kuwa Kiungo Muhimu Katika Sekta ya Nishati Safi Duniani*_ Tanzania imeandika historia mpya katika Sekta ya Madini baada ya Machi 3, 2025, Serikali kutoa Leseni Kubwa ya Uchimbaji  (Special […]

FEATURE
on Mar 4, 2025
99 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM GSM Foundation na Hospital ya CCBRT leo wamesaini makubaliano ya ushirikiano ambapo GSM Foundation inaongoza kampeni ya kuchangisha kiasi cha milioni 588,734 ,880 za kitanzania kwaajili ya matibabu ya watoto 400 waliozaliwa na tatizo la miguu kifundo (clubfoot) ambapo wanapokea matibabu katika Hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam […]

FEATURE
on Mar 4, 2025
79 views 57 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 *Wizara ya Nishati yajivunia jitihada katika kulinda haki, usawa na kuwawezesha wanawake* 📌 *Kapinga asema lengo ni kuboresha ustawi wa mwanamke na kuongeza thamani yake.* Katika kuelekea maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025, yenye kaulimbiu “Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji” Wizara ya Nishati […]

FEATURE
on Mar 4, 2025
68 views 59 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA Kanda ya Magharibi leo Machi 3, 2025 imesherehekea Siku ya Wanyamapori Duniani kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii na uhifadhi, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za kulinda wanyamapori na mazingira. Katika maadhimisho hayo, Kanda hiyo ilitoa misaada ya vyakula kwa wanafunzi […]

FEATURE
on Mar 3, 2025
53 views 2 secs

Na Madina Mohammed DODOMA WAMACHINGA Katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali inatarajia kupandisha vyeo watumishi  laki mbili kumi na tisa na arobaini na mbili (219042)na kubadilisha kada watumishi elfu sita Mia tisa na kumi (6910). Haya yameelezwa  leo 3 march jijini Dodoma, waziri wa nchi ,ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora George  Simbachawene  katika […]

FEATURE
on Mar 3, 2025
57 views 19 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 *Asema Wizara ya Nishati inalo la kujivunia kutokana na uwepo wanawake katika nafasi za uongozi.* Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano  Serikalini Wizara ya Nishati,  Neema Mbuja amesema kile ambacho wanawake walikipambania  katika majukwaa mbalimbali ikiwemo ya Kimataifa ili kuwa na  haki, usawa na uwezeshaji kwa wanawake matunda yake yanaonekana hivi […]

FEATURE
on Mar 3, 2025
84 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema ongezeko la idadi ya Wanyamapori katika hifadhi za Wanyama hapa nchini imetokana na juhudi za serikali kushirikisha wadau wa uhifadhi wa Wanyamapori na wananchi kwa ujumla hali iliyopelekea kukua kwa utalii na uchumi katika Taifa. Ameyasema hayo leo Machi 03, […]

FEATURE
on Mar 3, 2025
74 views 4 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kwa kuelekea siku ya wanawake duniani kwa tamko la Beijing linalotimiza miaka 30 Kwa kusheherekea siku ya wanawake duniani Ambapo kilele chake kufanyika siku ya Tarehe 8 Machi Mapinduzi ya Beijing yaliyoanza kufanywa mwaka 1995 Hadi siku ya Leo yanamueka mwanamke kama mtu mwenye mchango sawa na Mwanaume […]

FEATURE
on Mar 2, 2025
74 views 4 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Uzinduzi wa Kitabu cha Samia na Falsafa ya Samialojia kinatarajiwa kuzinduliwa Machi 19,2025 Jijini Dar es Salaam ambapo Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan anatimiza miaka minne tangu aingie madarakani. Rais Dkt.Samia ni mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya uongozi wa Rais tangu Tanzania ipate Uhuru Mwaka 1961,ambapo  amekuja na […]