Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkandarasi barabara ya Ilula Image-Ilambo atakiwa kurejea kazini mara moja Iringa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff, amesema serikali inaridhishwa na kazi zinayofanywa na wakandarasi wanaojenga barabara za Mtili – Ifwagi (Km. 14) na Wenda – Mgama (Km. 19) ambazo zinagharimu bilioni 52. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 Rais Samia atuma salamu za pole, agharamia misiba na mazishi 📌 Mkuu wa Wilaya Bukombe aishukuru Idara ya Afya kwa juhudi za maokozi 📌 Viongozi wa dini wahimiza uvumilivu na uhimilivu kipindi cha majonzi Leo Januari 30, 2025 mkoani Geita, maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kuaga miili ya wanafunzi saba wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 Asema kuunganisha umeme maeneo ya Vijiji Mji ni shilingi 320.960/- 📌 Kapinga asema maeneo ya Kerwa umeme umeshafika Makao Makuu ya Vijiji Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema uunganishaji wa umeme kwenye maeneo ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA SOKO la Kariakoo linatarajiwa kurejesha shughuli zake kuanzia mwezi Februari, 2025 mara baada kukamilika kwa ujenzi na ukarabati wa soko sambamba na kukamilika kwa kazi ya uhakiki wa waliokuwa wafanyabiashara kwenye soko hilo. Uhakiki uliofanywa na timu maalum iliyoundwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ikijumuisha wawakilishi […]
Bodi ya Utalii Tanzania- TTB kwa kushirikiana na Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania unaowakilisha Uhispania sambamba wadau mbali wa Utalii kutoka sekta binafisi chini ya mwamvuli wa TLTO kwa pamoja wamefanikisha Ushiriki wa Nchini ya Tanzania katika onesho la 45 la FITUR jijini Madrid, hii ni kuanzia tarehe 22 hadi 26 January,2025. Katika onesho hilo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA – Asema mpaka sasa Marais wengi wamekwishafika – Kufuatia uwepo wa ugeni huu Mkubwa baadhi ya barabara zitafungwa na kufunguliwa ili kuepusha usumbufu kwa wageni – Asisitiza kuwa Serikali imeelekeza tarehe 27-28 Januari, 2025 Watumishi wa Umma Dsm kufanyia kazi Nyumbani – Agusia suala la Usafi, Ulinzi na Usalama wa Mkoa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MSANII Maarufu wa Bongo “Movie” Nchini Irene Uwoya ameanzisha kampeni ya kumkomboa mwanamke kwenye Sekta ya Kilimoa inayojulikana kama “Jemba ni Mama”. Akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 26, 2025 Wakati akitangaza kampeni hiyo Uwoya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Mradi huo amesema asilimia 67 ya Wanawake ndiyo wanaojushughulisha na […]
Na Philomena Mbirika, Tanga Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imezindua Kampeni ya kuhamasisha utalii wa ndani katika mapango ya amboni Tanga kuelekea sikukuu ya wapendanao inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 14 Februari. Kampeni hiyo iliyozinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe. Japhari Kubecha leo tarehe 26/01/2025, inaenda kwa kauli mbiu isemayo “Diko […]
▪️Awataka Wana-CCM kujiandaa na Uchaguzi Mkuu▪️Asema Wana-CCM wanaowajibu wa kueleza kwa watanzania utekelezaji wa Ilani WAZIRI MKUU, amewasisitiza Watanzania wote kushirikiana na Serikali kuweka mkazo kwenye matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kubadili utaratibu za kupika chakula ili kuachana na matumizi ya kuni na mkaa. “Mwenyekiti wetu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mheshimiwa […]
📌 *Kituo mama cha CNG katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhudumia magari 1,200 kwa siku* 📌 *Serikali yaendelea kuhamasisha Sekta binafsi ujenzi wa vituo vya CNG* Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imepongezwa kwa ujenzi wa mradi wa Kituo mama cha gesi iliyoshindiliwa yaani Compressed Natural Gas (CNG) na Vituo […]