Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufanya uwekezaji mkubwa katika Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini ikiwemo upande wa miundombinu ya uangazi wa hali ya hewa na kujenga uwezo wa wafanyakazi. Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, leo (Jumanne, Januari 21, […]
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji, leo tarehe 21 Januari 2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kituo Jumuishi cha Utoaji wa Haki […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Asema ilijengwa wakati mahitaji yakiwa kidogo ๐Vijiji vyote vimefikiwa na umeme Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,ย Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema miundombinu iliyopo ya kusambaza umeme ni ya muda mrefu na Serikali tayari imeshaanza kazi ya kuibadilisha. Dkt. Biteko ameyasema hayo wakati akiwa katika kipindi cha dakika 45 ITV […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DODOMA CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kipi kwenye hesabu kali hasa baada ya kukamilisha uteuzi wa wagombea wake wa urais kwa upande wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (CCM) Hatua hiyo ya kufanya uteuzi wa wagombea wake mapema unakwenda kuakisi kwamba chama hicho tawala nchini, kimedhamiria kushinda […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM MKUTANO Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Dodoma Januari 18 na19, mwaka huu umewateua Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho, Dkt. Hussein Ali Mwinyi kuwamgombea urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA NewTan Insurance imeleta mabadiliko Kwa wateja wao wa bima Kwa kuwapa elimu ya bima Kwa wakulima ambao ni watumiaji wa bima hiyo Kwa ajili ya kuweza kujikinga na majanga ambayo yatakayoweza kujitokeza Katika kilimo Hayo Ameyasema Leo Tarehe 21 January 2025 Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa NewTan Insurance Nelson […]
Na MWANDISHI WETU -DODOMA NI Samia tena urais 2025-2030. Ndivyo unavyoweza kusema hasa baada wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi kumpitisha kuwa mgombea wa urais wa chama hicho tawala. Hatua hiyo ya kufikia uamuzi wa kutaka kuwapitisha kuwa wagombea wa urais kwa upande wa Bara na Zanzibar kama njia muhimu ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DODOMA WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikitarajiwa kuanza kwa Mkutano Mkuu Maalum kesho, hali ya hekaheka za wajumbe kutoka mikoa mbalimbali imeshika kasi jijini Dodoma. Kutokana na hali hiyo ni wazi kwa siku ya jana Jiji la Dodoma lilikuwa na shangwe huku naba kubwa ya wajumbe kutoka mikoa ya Dar es […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *Mchakato wa kumjua mrithi wa Kinana kuanza kesho, Dodoma yapambwa na rangi ya kijani kila kona *Hoteli zachukuliwa na CCM, wajumbe waanza kuwasili -DODOMA WAKATI joto la kutaka kujua nani atarithi nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokuwa inashikiliwa na Komredi Abdulrahman Kinana sasa ni wazi vikao vya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DODOMA NI Stephen Wasira CCM! Hivyo ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mqpinduzi(CCM) kupitisha jina lake kuwa Makamu Mwenyekiti akichukua nafasi iliyoachwa na Abdulrahman Kinana. Wasira amepitishwa katika mkutano huo uliofanyika janaย mjihi Dodoma ambapo amepata kura za ndiyo 1,910 kati ya kura halali 1,917 huku […]